Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Kumbe hawajaanza kampeni siku 24 wataweza kuzungukia Tanzania nzima, wanaanchi karibuni ccm ni chama kisichobabaisha
 
Wamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja View attachment 1577547
Sema Jiwe anakufaa wewe na familia yako bila kuwasahau Mataga wenzio. Lakini kwa watanzania wengi jiwe hatakiwi kuwa Rais hata kwa kutania tu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar.

Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais katika mkutano wa hadhara utakaohusisa CHADEMA, ACT Wazalendo na vyama vingine vya upinzani.

Amesema ACT-Wazalendo wameshajadiliana na wameshawasilisha mapendekezo yao kwa CHADEMA na baada ya pande zote kukamilisha mazungumzo watatangaza makubaliano yatakayofikiwa.
Sawa ngoja tusubiri

Ila naimani watafeli tu
 
Hii nchi haina hati miliki kwa ccm lazima tumuondoe sultani ccm tarehe 28
 
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar.

Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais katika mkutano wa hadhara utakaohusisa CHADEMA, ACT Wazalendo na vyama vingine vya upinzani.

Amesema ACT-Wazalendo wameshajadiliana na wameshawasilisha mapendekezo yao kwa CHADEMA na baada ya pande zote kukamilisha mazungumzo watatangaza makubaliano yatakayofikiwa.
Niguse ninuke. Nobody thought it would have been happened in this way.
 
Kwa mikakati ipi?

Hii hii ya ACT na chadema?
Kwa mikakati ya ccm maana nimesikia mmetoa maagizo kwa Dr.mahera wa tume ya Taifa ya uchaguzii kuwa ccm inatakiwa ushindi usiopunguaa asilimia% 90
 
Yule kilema anakufaa wewe na familia yako pia ila mimi siwezi kumpa uraisi kilema ambae kajipatia ukirema baada ya kudhulumu pesa kwa wajanja wenzie ambao waliamua kumfunza adabu akasingizia serikali, mchague magufuli kwa maendeleo ya tanzania naomba kura yako iende kwa magufuli
Nimekwambia hata kwa kutania huyo JIWE hafai kuwa Rais, hivi kati ya Wanafunzi, Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara , nani anaweza mpa kura Jiwe?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom