misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Wamechungulia wameona pesa hana na mvuta hana pia,chezea Zitto katumwa pesa.Vipi kachero mbobezi?
Naona wataka kuunga tela kwa Mr Much know aliyetekezwa na cheamani a.k.a disco joker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechungulia wameona pesa hana na mvuta hana pia,chezea Zitto katumwa pesa.Vipi kachero mbobezi?
Please expand your view. Kugombea Urais/nafasi ya uongozi ni njia, siyo hitimisho la safari ya kisiasa. Hitimisho la safari ya kisiasa ni kushinda 'nafasi za' uongozi. Upinzani ukishinda, Membe atakuwa ameshindwa. Atakuwa amesitisha safari yake ya kisiasa vizuri.kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Duuu nimeamini kweli Chadema walivyomfukuza Zitto Kabwe kuwa ni Msaliti nimeamini.Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar...
Acha chuki zako zisizo na msingi kwa Zitto na ACT. Wamejitahidi kimkakati kutogawanya kura. Ndio maana Membe hajaenda na viongozi wa ACT kuomba kura sehemu ambazo ACT inanguvu kubwa kama Kigoma, Mtwara, Tanga, Pemba na Zanzbar. Lissu ni " genious" (sio mbinafsi kama baadhi ya viongozi na wapambe wa Chadema). Lissu anajua umuhimu wa huu ushirikiano ili kupata ushindi ulio wazi hiyo 28 October 2020.
Lakini mkuu hii mipango imeanza kitamboSiyo chuki wewe! Acha kukimbia ukweli! Zitto alidhani Membe atakuwa na mvuto mkubwa kuliko Lissu baada ya kuona LIMEBUMBURUKA ndiyo kajisogeza kwa Chadema. Unadhani Membe angekuwa anavuta umati kama wa Lissu tungesikia hii kauli?
Juzi tu alidai Membe haonekani kwenye kampeni za Urais kwa kuwa alikuwa busy kupanga baraza la mawaziri, jana kauli imebadilika baada ya Seif Shariff Hamad kutamka Lissu ndiye Rais ajaye Tanzania.
Lakini mkuu hii mipango imeanza kitambo
Pia mwizi wa rambirambi za tetemeko la Kagera .Halafu CCM , msajili wakisikia ushirikiano wa vyama mbona wanaweweseka Sana mbona nyie mmeungana na TLP ya DSO kipenyo sisi hatulalamiki ?Anawafaaa watu wa Chato tu. Magufuli ni Mbinafsi, mbaguzi wa kidini, kikanda, kichama na kikabila.
Fisadi anayezuia wenzake wasifanye ufisadi ili abaki yeye na mpwa wake kwenye upigaji