Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Please expand your view. Kugombea Urais/nafasi ya uongozi ni njia, siyo hitimisho la safari ya kisiasa. Hitimisho la safari ya kisiasa ni kushinda 'nafasi za' uongozi. Upinzani ukishinda, Membe atakuwa ameshindwa. Atakuwa amesitisha safari yake ya kisiasa vizuri.
 
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar...
Duuu nimeamini kweli Chadema walivyomfukuza Zitto Kabwe kuwa ni Msaliti nimeamini.
Tayari Mbobezi amemsaliti, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna watu wanaogopa asilimia 84 iliyotengezwa jinsi itakavyoshuka, na jinsi yakutengeneza mitambo mipya na ndo wanampondea BM kwamba kasalitiwa.
 
Ni vyema vyama vya Upinzani vikamsimamisha mgombea mmoja anayekubalika ili kuleta ushindani imara katika uchaguzi huu
 
Siyo chuki wewe! Acha kukimbia ukweli! Zitto alidhani Membe atakuwa na mvuto mkubwa kuliko Lissu baada ya kuona LIMEBUMBURUKA ndiyo kajisogeza kwa Chadema. Unadhani Membe angekuwa anavuta umati kama wa Lissu tungesikia hii kauli?

Juzi tu alidai Membe haonekani kwenye kampeni za Urais kwa kuwa alikuwa busy kupanga baraza la mawaziri, jana kauli imebadilika baada ya Seif Shariff Hamad kutamka Lissu ndiye Rais ajaye Tanzania.

Acha chuki zako zisizo na msingi kwa Zitto na ACT. Wamejitahidi kimkakati kutogawanya kura. Ndio maana Membe hajaenda na viongozi wa ACT kuomba kura sehemu ambazo ACT inanguvu kubwa kama Kigoma, Mtwara, Tanga, Pemba na Zanzbar. Lissu ni " genious" (sio mbinafsi kama baadhi ya viongozi na wapambe wa Chadema). Lissu anajua umuhimu wa huu ushirikiano ili kupata ushindi ulio wazi hiyo 28 October 2020.
 
Siyo chuki wewe! Acha kukimbia ukweli! Zitto alidhani Membe atakuwa na mvuto mkubwa kuliko Lissu baada ya kuona LIMEBUMBURUKA ndiyo kajisogeza kwa Chadema. Unadhani Membe angekuwa anavuta umati kama wa Lissu tungesikia hii kauli?

Juzi tu alidai Membe haonekani kwenye kampeni za Urais kwa kuwa alikuwa busy kupanga baraza la mawaziri, jana kauli imebadilika baada ya Seif Shariff Hamad kutamka Lissu ndiye Rais ajaye Tanzania.
Lakini mkuu hii mipango imeanza kitambo
 
Anawafaaa watu wa Chato tu. Magufuli ni Mbinafsi, mbaguzi wa kidini, kikanda, kichama na kikabila.

Fisadi anayezuia wenzake wasifanye ufisadi ili abaki yeye na mpwa wake kwenye upigaji
Pia mwizi wa rambirambi za tetemeko la Kagera .Halafu CCM , msajili wakisikia ushirikiano wa vyama mbona wanaweweseka Sana mbona nyie mmeungana na TLP ya DSO kipenyo sisi hatulalamiki ?
IMG_20200923_094406.jpg
 
Back
Top Bottom