Zitto Kabwe simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake. Kamanda Silo lazima alipe fadhili.

Zitto Kabwe simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake. Kamanda Silo lazima alipe fadhili.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe.

Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema.

Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
 
Mkuu Zitto Kabwe “anapewa” hilo jimbo kiulaini kabisa na “atapewa” majimbo mengine kama matano huku bara na majimbo kama 10+ huko Zanzibar ili aunde kambi rasmi ya upinzani bungeni na ionekana Mama Abdul ni “mwanademokrasia” wa kweli ndio maana wapinzani wameongeza idadi ya majimbo ya kushinda kuonyesha uchafuzi ulikua huru na haki

Ili mradi tu kuikomoa CDM waonekane madai yao hayana msingi
 
Isingekua maalim seif kumrithisha wanachama Zitto angelua ameshaenda CCM kuunga juhudi

Zitto Amelia mwanasiasa chupil chupil
 
Zitto kaahidiwa kupewa ubunge wa mezani na mama Abdul, ndiyo maana yupo kimya kama zombie
 
Back
Top Bottom