Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

Wapi kahusisha udini! Hivi huwajui wadini eti! Tembelelea chadema kuna mtu mdini mule, basi tu. Hata zitto kuondoka kwake chadema nilifurahi sana

1. Ungeishia sentensi ya kwanza ningekuunga kuunga mkono.

2. Chadema udini haupo.

3. Kuondoka Zitto Chadema kusingekufurahisha.

4. Tujuavyo sisi adui yetu ni mmoja na umoja wetu ndiyo ngao yetu:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

5. Wewe kikamilifu ninakusoma hapa:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
 

1. Ajabu na kweli unaoonekana kutaka Zitto kufanya siasa kama ambavyo ungependa.

2. Ajabu nyingine ungependa unachosema wewe kiwe zaidi ya anachosema yeye na bila ya ushahidi wowote.

3. Alichosema Zitto ni majibu ya alichoulizwa.

4. Zaidi sana amekuwa wazi:

"Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi."

Kutopambana na hoja zake na badala yake kuja tuhuma zisizokuwa na msingi ni kujionyesha zaidi ufukara wa hoja hadharani.
 
Xi
ZItto sijaanza kumjua leo.
kama umekwenda shule vizuri nadhani utakuwa unafahamu kitu kinachoitwa tathmini. Matendo, kauli, mienendo na misimamo ya mtu over time inakuwa basis ya evaluation. Niliyoyasena kuhusu Zitto ni matokeo ya tathmini yangu ambayo sio lazima wewe ukubaliane nayo. Only time will tell.

Zitto kutokana na kuutaka sana urais wakati akiwa hajafikisha miaka 40 ambayo ndio umri kikatiba mtu anaruhusiwa kugombea urais hapa TZ. aliwahi kuomba umri wa kugombea urais upunguzwe ili tu aweze kuqualify ; leo hii amefikisha 40 lakini hana kiu ya kugombea urais hadi 2030. Kwa tabia ya CCM mwaka 2030 most likely mgombea wake atakuwa mkristo ndio maana Zitto atagombea mwaka huo. Zitto ni kama Lipumba.

Rejea ukosoaji wa zitto wakati wa Magufuli na Mkapa halafu revisit wakati wa KIikwete na sasa.

Pitia michango yangu yote humu jf, mimi huwa naanalyse hoja objectively tofauti na wewe ambaye uko subjectively.

Nimeweka wazi kuwa siipendi CHADEMA lakini nikakiri ukweli kuwa vyama ni viwili tu CCM na CHADEMA.

Tusubiri next moves za Zitto.
 

1. Nianzie na hii:

"Pitia michango yangu yote humu jf, mimi huwa naanalyse hoja objectively tofauti na wewe ambaye uko subjectively."

Labda ulipanga kufanya kichekesho. Kumbuka nyani haoni kundule!

2. Kwamba Zitto alipambania umri kugombea urais ushushwe hakuna maana moja tu, ati kuwa ili yeye agombee. Labda alikwambia wewe hivyo?

3. Kwamba aliwakosoa mno sana Mkapa na Magufuli? Hakuna maana moja tu kuwa ni mdini. Labda kama alikwambia wewe hivyo?

Kipindi cha Mkapa walikufa wangapi kisiasa? Wizi wa kura ulikuwa je? Nk nk? Vipi wakati wa Magufuli? Waweza kulinganisha na sasa Kikwette au Nyerere?

4. Unayeonekana mdini ni wewe. Umeleta udini kwenye mada iliyowazi "Zitto akijibu mwaswali tena tu aliyoulizwa."

Kwa hakika chuki zenu hasa kwa huyu ndugu hata kwenye kung'atuka tu inahamasisha mtu mwenye akili zake kuwamulika ninyi zaidi.

Kwani mnataka kufunika Nini? Hamlii machozi ya mamba nyie?

Badala yakujadili hoja zake mmejikita kumjadili utu wake. Kutofautiana kimawazo mbona ni jambo lafya mno bila kusahau adui yetu ni mmoja?

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

Somo gumu sana kwa makamanda uchwara:

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

Zingatia si wote.
 
Hizo wilaya ulizozitaja zina vinasaba vya udini

Kujikita kwenye udini hakumlipi yeyote si Zitto wala yeyote.

"Mada nzima Haina popote Zitto alipotamka neno dini, kutaja dini wala kiashiria."

Hoja ya udini ni mfu ya mahsusi kwa mafukara wa hoja.
 
Matendo yake yanaongea kuliko maneno.
Hata ungekuwa wewe usingesema kuwa unawatumikia CCM ila matendo yako yatatuambia uhusika wako japo kwa asilimia flani.

Huku si ndiko kunakoitwa kupiga ramli?

Your browser is not able to display this video.


Hao ni wao 2020. Kama huku ni kumtumikia CCM basi sijui wewe wamtumikia nani?

Adui yetu ni mmoja haya mengine ni kwa faida ya CCM tu.

Kama ilivyo kwenye mada, ya kwako kumhusu Zitto unayapata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…