Xi
ZItto sijaanza kumjua leo.
kama umekwenda shule vizuri nadhani utakuwa unafahamu kitu kinachoitwa tathmini. Matendo, kauli, mienendo na misimamo ya mtu over time inakuwa basis ya evaluation. Niliyoyasena kuhusu Zitto ni matokeo ya tathmini yangu ambayo sio lazima wewe ukubaliane nayo. Only time will tell.
Zitto kutokana na kuutaka sana urais wakati akiwa hajafikisha miaka 40 ambayo ndio umri kikatiba mtu anaruhusiwa kugombea urais hapa TZ. aliwahi kuomba umri wa kugombea urais upunguzwe ili tu aweze kuqualify ; leo hii amefikisha 40 lakini hana kiu ya kugombea urais hadi 2030. Kwa tabia ya CCM mwaka 2030 most likely mgombea wake atakuwa mkristo ndio maana Zitto atagombea mwaka huo. Zitto ni kama Lipumba.
Rejea ukosoaji wa zitto wakati wa Magufuli na Mkapa halafu revisit wakati wa KIikwete na sasa.
Pitia michango yangu yote humu jf, mimi huwa naanalyse hoja objectively tofauti na wewe ambaye uko subjectively.
Nimeweka wazi kuwa siipendi CHADEMA lakini nikakiri ukweli kuwa vyama ni viwili tu CCM na CHADEMA.
Tusubiri next moves za Zitto.