Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikasema ninaamini. Kwa sababu huyo Zito na kundi lake lote waliohamia CCM akina Kitila, mwigamba, Mkumbo, mgwira nk. Waliposhindwa kuiangusha CHADEMA wakakimbilia CCM kupewa teuzi. Leo utaniamisha vipi kwamba ACT ni wapinzani?
au kurudi kwenye chama chako pendwa usichikitajaAkiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:
View attachment 2933149
Kwamba:
1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.
3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.
4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.
5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.
7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.
8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.
9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.
10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.
11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.
12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.
13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.
Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.
Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:
Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
1. ACT hawajapata walichotegemea kupitia Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
2. CDM hawajapata walichokitegemea kupitia mazungumzo ya maridhiano.
3. Wote wajipange upya na kuja na mikakati ya kuelekea uchaguzi mkuu.
Wewe ndiye humjui vizuri huyo zito. Ndimi ya kuwili mwenye macho ya tamaa ndiyo asili yake. He is a sweet talker and strategically conning.Love him or hate him,Zitto is indispensable kwenye siasa zetu.The man is living ahead of his time!Zitto yupo hatua kumi mbele kuliko kizazi chetu.Hatumuelewi,hatutamuelewa unless tungekuwa 300yrs past our independence.
Katika siasa za Afrika(hata kwenye vyama vya upinzani) sio rahisi mtu kuachilia nafasi ya chama not to say kama amekianzisha yeye!Hii haijalishi chama ni kikubwa/kibaraka/kidogo aje ni ngumu!At least Zitto anajaribu kuonesha kuheshimu katiba ya chama chake akijua kabisa lazima kuna mamluki wa chama tawala ndani ya chama chake.
Ushamba wa kiafrika jamaa ameutupa mbali sana,this is pure gem in its form aisee..HONGERA ZITTO.
Kwa wale maHATERs remember this;no one is hated too much than the one who speaks the truth!😅
au kurudi kwenye chama chako pendwa usichikitaja
Ndio maana hata Uraia hagombei 2025 usije kumuudhi mama, anapelekwa bungeni Kwa mbeleko ya CCM na mama iwe isiwe lazima atangazwe mshindi.CCM kawafanyia kazi nzuri, hivyo wameshamuahidi kumzawadia jimbo huko Kigoma kutokana na utii wake kwa mabwana zake.
Umeongea ukweli. Zitto yupo pale Kama kidudu Mtu.
Ufukara wa mawazo ni kutokujikita kwenye mada na kuanza kushambulia watu. Akisema Nyerere, heri ufukara wa mali.
1. Ni kawaida kupata matokeo yawe uliyotarajia au vinginevyo.
2. Labda hata sisi ni hivyo kwenye maridhiano katika degree tofauti.
3. Hapo #1 ipo kwenye mada kama #5:
Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
4. Wana malalamiko, ila hawajuti walipo. Tatizo letu Nini?
5. Hapo #4 huoni hizo ni pilipili tusizo zila?
6. Amesema:
"Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi."
Hudhani tungejikita zaidi kwenye kusaka yanayo tuunganisha badala ya kujikita kwenye yanayo tufarakanisha? Pa kuanzia pakikiwa: adui yetu ni mmoja?
Mtu yupo hatua kumi mbele na ahead of time na chama kimemshinda kukisimamisha anataka kwenda kutetea tumbo lake na ubunge?Love him or hate him,Zitto is indispensable kwenye siasa zetu.The man is living ahead of his time!Zitto yupo hatua kumi mbele kuliko kizazi chetu.Hatumuelewi,hatutamuelewa unless tungekuwa 300yrs past our independence.
Katika siasa za Afrika(hata kwenye vyama vya upinzani) sio rahisi mtu kuachilia nafasi ya chama not to say kama amekianzisha yeye!Hii haijalishi chama ni kikubwa/kibaraka/kidogo aje ni ngumu!At least Zitto anajaribu kuonesha kuheshimu katiba ya chama chake akijua kabisa lazima kuna mamluki wa chama tawala ndani ya chama chake.
Ushamba wa kiafrika jamaa ameutupa mbali sana,this is pure gem in its form aisee..HONGERA ZITTO.
Kwa wale maHATERs remember this;no one is hated too much than the one who speaks the truth!😅
Zitto namfahamu tangu anasaidiwa na Mbowe kwa kulishwa kutokana na umasikini akiwa Chuo kikuu na kuingizwa katika siasa kulelewa hadi kufanya maasi kutaka kumpindua Mbowe na hadi sasa.Nimesoma bandiko lako vzur lakini nimefikia hitimisho kwamba wakati wa harakati za Zitto ama ulikuwa shule ama ulikuwa underbed na hivyo hukupata kujua kilichoendelea..
Hoja yako ya kumjua Zitto labda niseme kati yako na Saed Kubenea jipime nnan anayeweza kuwa alimjua/anamjua Zitto.Mwaka 2019 Saed Kubenea alikuwa mhariri wa Mwanahalisi nadhan alikuwa kinara wa kurusha mawe kwa Zitto kwa makala na kiujumla gazeti lake loote.Unajua baadae Saed Kubenea alijoin kwa Zitto.Hapa itoshe kusema zile makala hukuwah kuzisoma huenda ulikuwa shule..
Hoja ya kuupigania umri wa urais kushushwa,hapa napo uko shallow sana mzee.Zitto kiasili ni mwanamabadiliko kama haujui nikupe taarifa ndio mtu pekee aliyeanzisha au kupambania vijana kuwa bungeni,mwenyew alikuwa kijana mdogo tu kuingia bungeni na aliwapa morale vijana wengine kuingia bungeni.So alijua ujana sio kikwazo cha kushika hatamu,thats y.Kwanini hataki kugombea Urais sasa hivi(!)hilo halikuhusu coz kwenye siasa utakuwa mtu mjinga kufanya jambo bila kutazama mazingira kama yapo favourable.Naomba nikupe mfano ili ujue kuwa ni vzuri kutazama mazingira kabla ya kufanya maamuzi.Wakati wa Magufuli Chadema hamkuandamana kwanini(wakati katiba inaruhusu,mliogopa nn)?..Jibu hapo ni mazingira ya kisiasa..
Hoja ya ukosoaji wa Zitto wakati wa Magufuli,Kikwete na sasa.Kwanza unaonekana haujui chochote kumhusu Zitto na ama haumfuatilii aina ya siasa zake.Kwani ukosoaji wa CHADEMA dhidi ya viongozi hao tofautitofauti unafanana?In every action there must equal and opposite reaction.Ukosoaji unaendana na nguvu ya utendaji wa Serikali!
Umeweka waz kwamba huipendi CHADEMA lakini umeficha kwamba UNAIPENDA CCM.Infact ACT huielewi and thats ok.Mtu asiyeelewa jambo huwa ni mjinga katika jambo hilo.Bado unamuda wa kutosha unaeza kujieleimisha au laa huwez wapigie Simu DR.Slaa,Saed Kubenea na wengine weengi watakwambia whos Zitto is.😅
Zitto siyo centre ya siasa za Tanzania na hatakuja kuwa hivyo kiufupi he is a mere busybody.
Dume gani amelamba ?Kwa siasa za Tanzania Kung'atuka kwake amelamba dume.Apongezwe.
Mzee MteiNipe mfano wa chama kingine cha upinzani ambapo mwenyekiti au kiongozi wake ameheshimu ukomo wa uongozi kikatiba hapa Tanzania!..
Ukishindwa jitambue kuwa wew ni zwazwa