ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #81
Pesa na securityIn security wises!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa na securityIn security wises!
Population Yao? Mgawanyo unatakiwa kujali unachozalisha au kuchangia sio populationNi haki yao kupata kiasi hicho kutokana na population yao na ukubwa wa nchi na pia shughuli za kiuchumi, kama kuna kuna kupunjana itoeni Tanganyika kwenye koti la muungano iwe na serikali yake,katiba yake na kisha tuunde shirikisho hiyo ndiyo suluhisho ya malalamiko ya Zanzibar na Bara pia
Huyu hajawahi kwenda Zanzibar, ndiyo mana anasema Zanzibar wanapiga kazi khaa...😂Sheri Sheri au madagasca wako mbali?
Dunia ya saizi Wala huhitaji kwenda mahala Kila kitu kipo mtandaoniHuyu hajawahi kwenda Zanzibar, ndiyo mana anasema Zanzibar wanapiga kazi khaa...😂
Kapasua nini? Nadhani huyo Lisu Huwa anawapasua nyie nyumbu,Ukiwa na akili timamu utaandamana eti kuja kusema tunataka Tanganyika?
kasome vizuri, TRA ipo inakusanya mapato kama kawaida, ZRA nayo inakusanya mapato kwa vitu vile vilivyokusanywa mapato na TRA pia, na ndiyo mana Zanzibar vitu ni ghali sana kwani makato ni mara mbili.Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
1.Mimi ni muumini wa muungano ,pia naamini kuna mambo hayajakaa sawa kwenye muungano,kisheria na kiuchumi...Dunia ya saizi Wala huhitaji kwenda mahala Kila kitu kipo mtandaoni
Fafanua mkuu, sielewagi hili!!Muungano ni Kwa maslahi ya Tanzania,Bara inahitaji Zanzibar kuliko Zenj inavyohitaji Bara
Ingia TRA na ZRA au subiria hotuba za Bajeti juni 2024 au chukua za mwaka Jana utapata Kila kitu.1.Mimi ni muumini wa muungano ,pia naamini kuna mambo hayajakaa sawa kwenye muungano,kisheria na kiuchumi...
2.Kwenye suala la kupiga kazi mkuu,fika kwanza Zenj ujionee
3.Mi nakuomba uweke official data za makusanyo na matumizi kwanza ...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
mh...kasome vizuri, TRA ipo inakusanya mapato kama kawaida, ZRA nayo inakusanya mapato kwa vitu vile vilivyokusanywa mapato na TRA pia, na ndiyo mana Zanzibar vitu ni ghali sana kwani makato ni mara mbili.
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Hapa nipo najaribu kuperuzi hizo data....Ingia TRA na ZRA au subiria hotuba za Bajeti juni 2024 au chukua za mwaka Jana utapata Kila kitu.
Hapo ndipo hawasemi...Japo ni uongo na hata kama ingekuwa kweli kwenye alimia 100 ya hayo mapato Zanzibar inachangia shilingi ngapi?