Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Ni haki yao kupata kiasi hicho kutokana na population yao na ukubwa wa nchi na pia shughuli za kiuchumi, kama kuna kuna kupunjana itoeni Tanganyika kwenye koti la muungano iwe na serikali yake,katiba yake na kisha tuunde shirikisho hiyo ndiyo suluhisho ya malalamiko ya Zanzibar na Bara pia
Population Yao? Mgawanyo unatakiwa kujali unachozalisha au kuchangia sio population
 
Kapasua nini? Nadhani huyo Lisu Huwa anawapasua nyie nyumbu,Ukiwa na akili timamu utaandamana eti kuja kusema tunataka Tanganyika?

Wewe huelewi chochote kuhusiana na Lisu.

Spika Anna Makinda, kama spika mstaafu akimwelezea Lisu, anasema hakuna hata mbunge mmoja aliyewahi kuwa na mchango na msaada mkubwa kwa bunge katika kupitia miswada ya inayoletwa na Serikali Bungeni, kama TUNDU ANTIPAS LISU. Anasema alikuwa mwalimu wa wabunge. Na anasema kuwa Lisu ndiye aliyekuwa anawafungua akili kwenye miswada tata, na bila ya Lisu, mara kadhaa Bunge lilikuwa kwenye hatari ya kupitisha miswada tata kuwa sheria.

Halafu unakuta mtu ambaye ni ounguani kabisa, anasema Lisu hana mchango kwa Taifa. Lisu kwa ujumla, hata bila ya kuwa na Serikali, mchango na influence yake kwa nchi, haupimiki.
 
Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%

Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?

Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
kasome vizuri, TRA ipo inakusanya mapato kama kawaida, ZRA nayo inakusanya mapato kwa vitu vile vilivyokusanywa mapato na TRA pia, na ndiyo mana Zanzibar vitu ni ghali sana kwani makato ni mara mbili.
 
Dunia ya saizi Wala huhitaji kwenda mahala Kila kitu kipo mtandaoni
1.Mimi ni muumini wa muungano ,pia naamini kuna mambo hayajakaa sawa kwenye muungano,kisheria na kiuchumi...

2.Kwenye suala la kupiga kazi mkuu,fika kwanza Zenj ujionee

3.Mi nakuomba uweke official data za makusanyo na matumizi kwanza ...
 
Ingia TRA na ZRA au subiria hotuba za Bajeti juni 2024 au chukua za mwaka Jana utapata Kila kitu.
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Hivi huyu si ndo yule wakati alipotaka kujiunga CCM, Kikwete akamuagiza akaanzishe ACT?
 
kasome vizuri, TRA ipo inakusanya mapato kama kawaida, ZRA nayo inakusanya mapato kwa vitu vile vilivyokusanywa mapato na TRA pia, na ndiyo mana Zanzibar vitu ni ghali sana kwani makato ni mara mbili.
mh...
Hii nchi ambayo ipo kwenye soko huru na Oman,uagizaji vitu kwa kodi nafuu...

Watu hukimbilia huko kununua vifaa vya electronics kisa bei chee...

Bidhaa zipi Zanzibar ni bei ghali, mbona watupiga changa la macho.
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Zito kasome hesabu kuhusu "uwiano" (ratio) ni kulingana na idadi ya watu. Tena wangepata asilimia 1
 
Japo ni uongo na hata kama ingekuwa kweli kwenye alimia 100 ya hayo mapato Zanzibar inachangia shilingi ngapi?
 
Ingia TRA na ZRA au subiria hotuba za Bajeti juni 2024 au chukua za mwaka Jana utapata Kila kitu.
Hapa nipo najaribu kuperuzi hizo data....
Wewe ni mchumi naamini itakuwa rahisi kuzipata hizo data.

Fika Zanzibar,ujionee...Ukiondoa utalii na kupokea fedha za ndugu zao kutoka Uarabuni+Uingereza kutoka nje,Kule hakuna shughuli yoyote ya kiuchumi.

Kanakwamba wanashindwa lipa madeni ya Tanesco...
 
sikuwahi kujua wazanzibar wanafaidi namna hii,hiki Wanachochangia ni kidogo mno ukilinganisha na matumizi ya muungano yaani hizo pesa zilipe madeni ya muungano,hizohizo zilipe police,wanajeshi na uhamiaji kulekwao,halafu ziendeshe na wizara zingine za muungano hapohapo wapate asilimia mbili ya mapato yote ya TRA na kuwalipa wabunge wao 80 wanaokuja Dodoma aisee tunanyonywa watanganyika.
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Ana hofu Tundu Lissu anavyoharibu Muungano ACT ndio inaenda kufa.
 
Back
Top Bottom