Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Eti ni kweli Membe hana sifa ya kuteuliwa na NEC?
 
Naona wanataka kumpotezea Membe!!!! As long as Tundu Lissu yupo hakuna shida Membe inabidi aungane na hili jembe kuongeza nguvu kama kweli alidhamilia kumg'oa Jiwe!!

Wewe toka usingizini mlengwa yupo
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Ikiwa vyama vimesimamisha wagombea na ipo imani kuwa wagombea wa upinzani ni bure, hawakubaliki nini hasa maana ya haya yote kama sio kutafuta matatizo?

Waacheni watanzania wachague kinacho wastahili.
 
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu
Hizi ndio lugha zinatakiwa kwa sasa. Sio ofisi tuu, DED au yeyote kwenye tume akijulikana kashiriki uchafu basi awe anajua kuwa familia yake au yeye binafsi kaweka reheni maisha.

Akikuta mke na watoto wamevimba matako kwa bakora ndio ataujua uchungu.
 
Itakuwa wote wameamua kumuunga mkono Lisu.

Tuna bahati kumpata mgombea mashuhuri dunia nzima. Sio vijijini sio mijini.

Lissu aje tu na Sera bora za Elimu, afya, uchumi, kilimo , Elimu, ajira na miundo mbinu lakini pia namna bora ya kutumia vyombo vyetu vya dola kwenye kusimamia amani ya nchi na kuimarisha uzalishaji kwa kutumia majeshi yetu wakati wa amani.

Vipi Lissu atatoa amri kama amiri jeshi mkuu bila kuathiri vyombo hivyo kujipendekeza kwa wanasiasa lakini pia kwa wakubwa zao ambao nao wanateuzi za ndani kwa ndani?

Katiba iliyopo ikitumiwa kisawasawa inatengeneza udikteta; Vipi Lisu ataitumia katiba ilitopo kufanya mabadiliko bila kuwa dikteta kwa kiasi Fulani?

Je, Lissu akiingia madarakani octoba ,halafu CCM wakajaa barabarani kupinga matokeo yake kwa maandamano makubwa atawaruhusu kufanya hivyo kwa sababu ya Uhuru wa kuandamana?

Bila shaka wapinzani wajipange kwa hoja kampeni zikianza mana wananchi wamesharidhika na hali iliyopo na wanaona ni sawa na hakuna hali bora kuliko hii na wanaamini hata wale wanaogawa mapesa barabarani nao pia wana maisha magumu kama wao na ni haki yao kuwagawia wale wanaowataka bila kufanya kazi lakini wengine wanaambiwa hakuna kula bila kazi.

Je, Watanzania shida yao kubwa ni Uhuru tu wa mikutano ya kisiasa na kuandamana?
 
Huu pia ni uchozezi!.
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Zitto katoa tahadhari wala sio tishio. Sijui kwa nini wewe umeona ni tishio?
 
Eti ni kweli Membe hana sifa ya kuteuliwa na NEC?
Yaani mwanzo wa huu uzi umetoa hoja utafikiri unaelewa kinachoendelea. Halafu hapa unamuuliza Pascal kama mgombea uliyemtaja ana sifa ama la?
 
Wakifanya huo upumbavu wa kuengue wagombea - hakika lazima tukatae. Likifanyike hilo, huyo Kaijage ajutie milele. Mambo ya kijinga kwa sasa kila mmoja aseme basi. Tunataka Taifa la watu wastaarabu. Na wanaoongoza taasisi za umma wanatakiwa kuwa wastaarabu zaidi.

Hatutaki primitivity. Ushamba na mambo ya hovyo yabakie kwenye familia zao. Wasiyalete kwenye Taifa. Kwenye Taifa, tuongozwe na Dhamira njema, sheria, kanuni na miongozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watakosa sifa wataenguliwa tu hakuna namna,halafu ningekuwa mimi msimamizi wa uchaguzi ningewaengua halafu mjaribu kuingia barabarani muone.
Ni hivi akikatwa hata mbunge au diwani mmoja tunaingia barabarani mpaka arudishwe huu ujinga hakuna watu tumechoka na upumbavu na tutaanzia kuchoma ofisi za nec then ni kumfurusha Dicteta Ikulu
 
Huu pia ni uchozezi!

ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

P
Wananchi wana haki ya kuitisha Serikali. Serikali wala watendaji wake hawana uwezo wa kuutisha umma.

Kwa mazoea ya huko nyuma, na ujinga ule uliofanyika wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, Zito yupo sahihi kutoa tahadhari mapema kabisa.

Ninachoomba ni kuwa Zito asiishie kutoa tahadhari tu bali viongozi wa vyama vya upinzani halisi wakae na wajadili well in advance, kama hawa watu wakifanya hivyo, nini kitafanyika. Isiwe baada ya kufanyika ndiyo mnaanza kujadili namna ya kufanya.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ulionesha nchi yetu ipo mikononi mwa wati wa namna gani. Maandalizi ya kupambana na hali hiyo yazingatie zaidi historia ya hawa watu.

Hatujali nani atakayepita, lakini atakayepita ni lazima awe amepita kwenye njia safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu nao ni uchochezi... aitwe ahojiwe kayasema nani naye akamatwe.
 
Lissu Game Changer si unaona CCM hakuna hoja hata moja waliyoijibu sio Polepole wala Bashiru na hakuna wa kujibu.
Wajibu hoja gani? Hizo alizotoa huyo bwabwa, kuwa kama ni ndege zilikuwepo etc...
 
Na Kama mtakosa sifa mnaenda kuenguliwa na hakuna mtu yoyote atakayeweza kuingia barabarani.

Hadi muda Kuna wagombea 19 wa wachadema wamekosa sifa, muda si mrefu wanaondolewa halafu muingie barabarani.
 
Mwisho ni umeuliza swali zuri sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…