Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

Kila mtu na uhuru wake ,hapo inasemwa amesema kama yeye,kuna shida gani ?
WaTz jaribuni kujiwezesha katika kupambanua mambo sio mnavamia vamia tu kama mnaegombania basi la kwenda Gombero.
jamani kuna sense na none-sense ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....Gombero hakuna shida ya usafiri siku hizi, unaenda pale mwembe mawazo unapanda hiace bila shida!
 
kwa wanaomfahamu zitto,ni mdini mkubwa sana. hapo wanajaribu kudevide and rule, anaamini wakiwashikilia walutherani dhidi ya wakatoliki, wakatoliki watashindwa. mimi si mlutherani wala mkatoliki, ila nadhani walichokifanya TEC ni muhimu sana kwa taifa.
 
Siku nyingi hayupo jukwaani kaona atoe single hiyo
 
Taifa haliqezi kuunganishwa kwa matabaka kama haya walamba asali na walamba shubiri hatuwezi kamwe
 
Zitto ni kajitu kadogo Sana mbele ya Kanisa Katoliki. Ni Ile kupigana Vita na usiyemudu unaishia kutoa maoni ya kujifariji
 
KKKT ndiyo injili!
 
Yaaani zito imeisha kabisa kisiasi kwishney ,umebakiza kete ya udini Sasa hivi ndo unadhani itakubeba haaaaaa! Siasa ni mchezo mchafu Sana unaochezwa na watu smart
 

Zitto mdini kuliko mtu yeyote yule, alafu he lacks characters of good leadership, hana kabisa, but he pretends to be a leader.

Kwa hiyo

CCM, CHADEMA, ACT, ROMA CATHOLIC, ANGLICAN, ISLAM, YANGA, SIMBA, AZAM, BUNGE, Viongozi wa Juu Serikali wote, etc etc woooote hawa wengine hawaunganishi Taifa, except KKKT and Taifa Stars tu, Zitto ana fikira fupi sana, mara zote waha ni short sighted sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…