Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT


Lengo lako ni nini hasa? Unataka kuichonganisha KKKT na madhehebu mengine? Snitch pro max.
 
Zitto alisha ishiwa akili siku nyingi. Ni mdini na mshirikina, alishasema atamgeuza mtu kuwa panya.

Haki ulizonazo kuwa na uhuru wa kuzungumza ndio hizo hizo Zitto anazo.

kama una hoja ya kupinga njoo na hoja kuonesha kuwa si kweli kuwa KKKT na Taifa Stars wanaliuganisha Taifa.

Serikali ikimpiga mtu kuzungumza mnakuja na kelele z kupigania uhuru wa kujieleza wakati nyie wenyewe hamna staha ya kuvumilia kusikia msiowapenda nao wakizungumza
 
Lakini kinachobomoa tz kugawa bandari za watu , hili aliendi kumuacha mtu salama
 
Kila mtu na uhuru wake ,hapo inasemwa amesema kama yeye,kuna shida gani ?
WaTz jaribuni kujiwezesha katika kupambanua mambo sio mnavamia vamia tu kama mnaegombania basi la kwenda Gombero.
jamani kuna sense na none-sense ,
 
Kuna ukweli kabisa
 
Hapo January na Mwigullu wataambulia kura za KKKT na wale Siasa kali akina Ponda tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ”₯🌟🐼
 
Huko KKKT Kutakuwa na shida fulani
 
Wewe ulitegemea atasemaje shehe?

Ameshagundua Watanzania wameshampuuza na kumuona ni 'nyoka wa mapambo' hivyo anatafuta kuzungumziwa.
Tumempuuzaje wakati kila anacho post kinaletwa huku kujadiliwa, ingia wewe kwny page yako post unachotaka uone kama kitakuwa mjadala ?

au hujui maana ya kupuuzwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…