Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hadi ww bwashee Una mfahamu?!Dalali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi ww bwashee Una mfahamu?!Dalali
Acha uongoZitto kaenda Ukraine kwa ufadhili wa taasisi iitwayo Benthrust foundation, inayomilikiwa na Jonathan Oppenheimer. Bodi ya ushauri ya taasisi hii inaundwa na wazito kama Olusegun Obasanjo, Ellen Johnson Sirleaf, Gregg Mills, Ernest Bai Koroma. Kwenye hiyo safari pia Bob Wine alikuwepo. Benthrust inatuhumiwa kuwaweka vibaraka madarakani kwenye nchi nyingi za Afrika kwa maslahi yao binafsi. Huwa ni wataalamu wazuri wa kusuka migogoro ndani ya nchi ambayo wanashindwa kupenya kirahisi. Kimsingi ukiona kiongozi anajihusisha na hawa jamaa ujue ni kibaraka wao na sio mzalendo. Binafsi ninamkubali sana Zitto kwa uwezo wake binafsi ila naweza sema sio mzalendo na hafai kuwa kiongozi wa nchi hii. CCM itazidi kuwa madarakani kwa kuzikataa taasisi za hovyo kama hii Benthrust.
Mbona viongozi wengi wa Ulaya walienda huko? Nadhani nia kuonesha solidarity ya chama chake na wananchi wa Ukraine. Ni jambo jema.
Zitto kaenda Ukraine kwa ufadhili wa taasisi iitwayo Benthrust foundation, inayomilikiwa na Jonathan Oppenheimer. Bodi ya ushauri ya taasisi hii inaundwa na wazito kama Olusegun Obasanjo, Ellen Johnson Sirleaf, Gregg Mills, Ernest Bai Koroma. Kwenye hiyo safari pia Bob Wine alikuwepo. Benthrust inatuhumiwa kuwaweka vibaraka madarakani kwenye nchi nyingi za Afrika kwa maslahi yao binafsi. Huwa ni wataalamu wazuri wa kusuka migogoro ndani ya nchi ambayo wanashindwa kupenya kirahisi. Kimsingi ukiona kiongozi anajihusisha na hawa jamaa ujue ni kibaraka wao na sio mzalendo. Binafsi ninamkubali sana Zitto kwa uwezo wake binafsi ila naweza sema sio mzalendo na hafai kuwa kiongozi wa nchi hii. CCM itazidi kuwa madarakani kwa kuzikataa taasisi za hovyo kama hii Benthrust.
Aisee!Zitto kaenda Ukraine kwa ufadhili wa taasisi iitwayo Benthrust foundation, inayomilikiwa na Jonathan Oppenheimer. Bodi ya ushauri ya taasisi hii inaundwa na wazito kama Olusegun Obasanjo, Ellen Johnson Sirleaf, Gregg Mills, Ernest Bai Koroma. Kwenye hiyo safari pia Bob Wine alikuwepo. Benthrust inatuhumiwa kuwaweka vibaraka madarakani kwenye nchi nyingi za Afrika kwa maslahi yao binafsi. Huwa ni wataalamu wazuri wa kusuka migogoro ndani ya nchi ambayo wanashindwa kupenya kirahisi. Kimsingi ukiona kiongozi anajihusisha na hawa jamaa ujue ni kibaraka wao na sio mzalendo. Binafsi ninamkubali sana Zitto kwa uwezo wake binafsi ila naweza sema sio mzalendo na hafai kuwa kiongozi wa nchi hii. CCM itazidi kuwa madarakani kwa kuzikataa taasisi za hovyo kama hii Benthrust.
[emoji23][emoji23][emoji23], zipi hizo? Mikuki na mishaleAu labda kapeleka silaha za jadi kutoka kigoma
Yule mduduKapeleka dawa za kigoma za kuzuia risasi isikuue, almaarufu vidono, kutokana na vita, hii itamlipa sana.
Ukweli ni upi?Acha uongo
Wewe hakuna kitu unajua.Propaganda tu hizi
Ukweli ni upi?Acha uongo
Au labda kapeleka silaha za jadi kutoka kigoma