Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

Acha uongo
 
Ni jambo jema sana alilofanya Zitto
Mbona viongozi wengi wa Ulaya walienda huko? Nadhani nia kuonesha solidarity ya chama chake na wananchi wa Ukraine. Ni jambo jema.
 
Propaganda tu hizi
 
Kumbe kuna miji ambayo iko salama salmin,kiasi hiki?Vita hii bado mbichi Sana,Mrusi ajitafakari.
 
Aisee!
 
Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi, watakuja kusema hiyo ni photoshop...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…