Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

Haya sasa wana ACT wenzako huko wanasema Zitto kabwe na Maalim seifu wamekosa sifa za kuwa wanachama wa ACT wamevunja katiba.
Hao nao wataangukia pua kama alivuoanguka Lipumba mpka leo anahutubia mawe.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Shukrani sana mkuu, pamoja mzee
 
Hao nao wataangukia pua kama alivuoanguka Lipumba mpka leo anahutubia mawe.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kama Lipumba ameibomoa Cuf hadi iko vile ilivyo basi tambua na ACT inaelekea hukohuko sijui sasa Maalim seifu atahamia wapi tena?

Na Lissu alisema vyama vya upinzani ni viwili tu Chadema na Cuf basi,sasa Cuf ishakufa.
 
Kama Lipumba ameibomoa Cuf hadi iko vile ilivyo basi tambua na ACT inaelekea hukohuko sijui sasa Maalim seifu atahamia wapi tena?
Cuf ipi imebomoka?? LIPUMBA ANAVYOHANGAIKA NA STRESS ZAKE.
 
Zito na gazeti lake hewa la dail maverick ..... .... ameangukia pua. Chezea JPM weye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…