USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Nani wa kumfata zitto ,anajulikana ni msanii na mnafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani wa kumfata zitto ,anajulikana ni msanii na mnafiki
Tamko lake heading imebeba taswira ya kuwa hilo ni tamko la chama ila ndani anaongea on his own behalf.
CHADEMA are doing much better. Maamuzi yanaamuriwa na vikao na sio mtu mmoja akiongelea kutokea Kibirizi, Kigoma.
Safari ya Membe kurudi alipotoka sasa imekuwa fasttracked.
Sisi Watanzania October 28 tunachukua tunaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
Mapema sana
Tatizo kaliweka “tamko” kwenye mtandao. Halitawafikia wapiga kura huko bush. Hili ni tamko binafsi bila shaka na kalitoa kama ushauri tu.Mkuu walishapigwa stop na tume kuonekana wanaungana hadharani iliwa na wao wana mgombea. Hiyo ndio tekniki iliyokuwa imebaki. Akiongea kiongozi mkuu wa chama sisi wanachama tunaelewa na tutampigia kura TAL
Tukiwa weak si ndio vizuri ili mshinde kirahisiau vipiTatizo la upinzani ni kuwa wanajenga personalities badala ya chama WAKO VERY WEAK
Unakuta mtu ndiye popular sio chama!!! mfano mzuri Lowasa alipoingia upinzani alipata kura nyingi akaambulia wabunge 40 kati ya 264 ina maana hata angeshinda uraisi bunge lingemkwamisha kwa kila kitu sababu CCM ndio ingekuwa na nguvu bungeni na ndio ingetoa spika na naibu spika.Ilitokea hivyo sababu mgombea Lowasa alikuwa popular kuliko CHama!...
Hehehehe tulia hivyo hivyoTatizo kaliweka “tamko” kwenye mtandao. Halitawafikia wapiga kura huko bush. Hili ni tamko binafsi bila shaka na kalitoa kama ushauri tu.
Tatizo la pili: Membe yupo kimya. Last tweet alisema hizi ni propoganda tu, yeye ndo mbeba Ilani ya Chama. Ukimya wake una kishindo kikuu.
Tatizo la tatu: Tamko la Zitto limejaa usanii tu na ubinafsi. It is suprising how wapinzani hawalioni hili. Ukisoma point 1 na point 2 zinakinzana. Kwa hiyo maeneo ambayo ACT walipoweka wagombea wao hata kama ni dhaifu bado wanachama wawapige kura tu na kuwaacha wengine wenye nguvu zaidi kutoka upinzani (CHADEMa et al)?!
Mie sina ujinga wa kushabikia vyama mkuu nashukuru kwa kutokuwa katika huo ujinga.Mzee mambo ya Act na chadema hayakuhusu. Zungumzia ya Lumumba.
Walishakaa pamoja chadema, Lissu akamtimua Zitto akamwita msiti 🤣🤣🤣Sawa pia binafsi naomba siku za usoni wewe na Lisu muunde chama kimoja au kupitia vyama vyama vyenu vya sasa mgombee uraisi mwaka 2025.
Kwa Lowassa mlisema kama hivyo kuwa anajua mbinu za wizi za kuiba kura wanazotumia ccm hivyo ccm hawatoweza kumuibia kura.Membe yuko kwenye harakati za chini kwa chini kuthibiti wezi wa TUME.
Mwala huu ni siasa za akilisana.
KumekuchaMSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT Wazalendo.
2. Pale ambapo kwenye Kata au Jimbo la Uchaguzi hakuna Mgombea wa ACT Wazalendo, lakini kuna wagombea wengine wa Vyama vya Upinzani, ACT Wazalendo tunawaomba MPIGIE KURA MGOMBEA WA CHAMA CHA UPINZANI mwenye nguvu zaidi ili kutokutawanya Kura.
3. Kwa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mimi Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe NITAPIGA KURA YANGU kwa ndugu Tundu Antipas Mughwai LISSU. Huyu ndiye Mgombea wa Upinzani ambaye ana nguvu ya kumshinda Mgombea wa Chama tawala, amefanya kampeni nchi nzima, mwitikio wa Wananchi kwake ni mkubwa sana, ameeleza kwa ufasaha dhamira yake ya kuleta mabadiliko na sina mashaka na dhamira hiyo, pamoja na anayotaka kuyafanya kama Rais, ni mambo hayo ndiyo yaliyonipa msukumo wa kumpigia Kura Lissu.
Zaidi NINAMUAMINI LISSU kutokana na historia yake ya kupigania Haki za Watu. Ninaomba kila mpenda Haki na Mabadiliko nchini ampigie kura ya URAIS ndugu Tundu Lissu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natanguliza Shukran kwenu
Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Bangwe, Kigoma Mjini
Oktoba 16, 2020
Kama ni kwa sababu ya kumtoa kichaa aka Jiwe Ikulu hata kama ungekuwa ni wewe pamoja na ujinga wako ningekuunga mkonoZitto ni rasmi sasa anasapoti mabeberu
Kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani, uliwahi sikika ukisema uninga huoKimekuwa chama cha wapuuzi sana
Ambaye ni Mh LissuHueleweki nini unataka kwanini uliweka mgombea ilihali ukijua hana nguvu? Si mlipewa muda na utaratibu wa kuungana ... WE MPIGIE UNAEMUONA ANAFAA NA SISI TUTAMPIGIA TUNAEMUONA ANAFAA