Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Tumsubiri akitoka uchina ila tujiandae kwa miavuli maana atarudi na mvua ya masika
Madege yatatua mgodini pia makinikia yatasafirishwa kama kawaida.

Sipati picha Kabudi alivyotoa macho baada ya Barrick kutoa hii taarifa iliyofunua mishanga walawala.
 
K
Now I am totally confused, Inamaana huyu useless profesa kabudi aliendelea kuwa kiongozi wa majadiliano hata baada ya kuhanishwa wizara?
Kuna wizara nchi hi nchi inaendeshwa na personalities mjomba, wewe angalia makonda alivyo na power ya kuvuka ukuu wa mkoa, same with kabudi acha kushangaa mjomba, karibu tanzania
 


We mzee si ndo uliokuwa akitetea Acacia ukasema Serikali imalizane na Acacia ili kuepuka kulipa fedha nyingi? Si ndo wewe ulisema Bungeni kuwa Serikali isiwabughuzi Wawekezaji?

Kwani huo mkataba unaoelezea hapa umeshasainiwa?

Usipotoshe umma kijana.
 
Naona unamtafuta mzee wa watu wa chatou ubaya
Me naona tungewaacha Barrick wachimbe bure bila sharti lolote miaka 100 hata kodi wasilipe walipe Paye na hifadhi za jamii sharti letu liwe moja watujengee bandari ya bagamoyo..
 
Haya bwana, wasubiri Kibajaji au Msukuma waje wakutie moyo maana hao si wapinzani!!!
 
Toka mwanzo nilijua kuwa kwa makosa waliyoyafanya awamu hii, ili kuwarudisha wawekezaji, ni lazima serikali italazimika kuleta vivutio kwa wawekezaji vingi kuliko tawala zilizopita.

Katika masuala ya madini, kwa ujumla, mara nyingi nimesema ni serikali iliyopoteza. Barrick hawajawahi kupata hasara tangu kampuni ianze kutokana na umakini wa watu wao. Falsafa ya Barrick inasema, 'Every best person must work with Barrick'. Kabudi na nadharia zake za darasani, kamwe asingeweza kuwashinda Barrick. Kuna wakati nilisema kuwa hasara aliyoileta Kabudi kwenye sekta ya madini, haipimiki. Kuielezea inahitaji topic inayojitegemea.
 
Zitto ameshirikiana na mabeberu kuweka classified infoz hadgarani,anatumika na mabeberu wasioitakia mema nchi hii!!!!
Haiwezekani atoe siri za nchi,makubaliano yalikuwa ya siri!

Natamani dunia ipasuke niingie,nchi hii imelaaniwa!
Siri za nchi za kuwala wananchi, halafu tunajinadi kuwa sisi ni wazalendo! Asante Zitto. Tunataka majibu toka kwa hawa waliosaini haya makubaliano, wakanushe au wayatolee ufafanuzi kwa evidence. Hatutaki ngonjera kwenye maswala muhimu kama hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…