Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Tuweke sheria kuwa MTU akitoa taarifa za uongo makusudi akamatwe na kutupwa jela miaka 2!!
 
Ingekuwa nchi nyengine, Makubaliano haya ya KIMANGUNGO kati ya Serikali ya Rais Magufuli na Kampuni ya Barrick, ingetosha kuiondoa Serikali madarakani. Rais John Magufuli na Waziri Palamagamba Kabudi wameuza nchi yetu kwa kipande cha dhahabu. Wamelihujumu Taifa.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Uko nje ya mada
 
Nimeumia na kuudhika sana..huyu jamaa ni mshenzi ..ndio..ni mshenzi mkubwa ..mambo ya kijinga kabisa..hakuna mahali nchi inanufaika ktika makubaliano hayo..na bado wamezuia bunge silihoji wakat wote hao barrick wakiwa nchini .maanyugus!!
 
Nimeumia na kuudhika sana..huyu jamaa ni mshenzi ..ndio..ni mshenzi mkubwa ..mambo ya kijinga kabisa..hakuna mahali nchi inanufaika ktika makubaliano hayo..na bado wamezuia bunge silihoji wakat wote hao barrick wakiwa nchini .maanyugus!!
Lile jamaa ni bonge la fisadi mbali na lililokosa maarifa!!!
 
Akili zinarudi sasa, tutaongea lugha moja tu kwamba huyo nduli wa chato ni janga kubwa la Taifa.

 
Na huo upumbavu hawa wahuni ndiyo wanaukumbatia kwa nguvu zote. Watatoa doti ya kanga za ccm, kofia. Shilling elfu 10 na mchele kilo 10 kura tayari!!! Lazima hawa wahuni uhuni wao uanikwe hadharani kadri inavyowezekana. Inakuwaje wananchi wa nchi za jirani wanaelewa umuhimu mkubwa wa kura zao lakini si Watanzania!?

Nyie kaeni mkidhania ikifika 2020 mtawashawishi wapiga kura wa kule kijijini kwetu kwa kutumia hoja ya kisomi. Shauri lako.
 
Very dangerous, needs serious dialogue..

Bunge lilipaswa kuita kikao cha dharula juu ya hili aisee tena haraka sana na Serikali itoe majibu ya kina na kitaalamu, Barrick Mafia sana hawa..
Bunge lipi ! Hili la Ndugai kweli ?!. Bunge lipo mfukoni
 
Kwa jambo hili Zitto unataka kutuambia kama bunge mna sauti gani, waonaje basi ukalipeleka bungeni ili serikali iwajibike kwa kuvunja sheria mliyoitunga.
Binge lipi ??
Na serekali ipi ???
 
Nyie kaeni mkidhania ikifika 2020 mtawashawishi wapiga kura wa kule kijijini kwetu kwa kutumia hoja ya kisomi. Shauri lako.
Mm nilishakuelewa na ndiyo maana mapambio yako yote huwa unampigia jiwe tu na siyo wateule wake. Hapa naona kabisaa kuna kitu umekiona,na kwamba bado akili yako ipo upinzani lkn hoja km hizi hazina ile nguvu ya ushawishi kwa wapiga kura km kule kwetu maririta. Nafikiri unamuunga mkono jiwe kwa sababu anajua kuwapanga wapiga kura wetu.

Inaweza kufika mwezi wa 5 jiwe akampiga chini palamagamba kwa mbwembwe zote kutokana na hili la Barrick..na kura zote akazibeba. Ila tuacheni utani jamani,jiwe ni kiboko aisee!

Jamaa ni mpiga porojo sijawahi kuona hii nchi. Kipindi kile amepewa wizara ya uvuvi,samaki ,Dagaa mpaka mayai ya vyura alikuwa anajua idadi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…