Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Watu wakubwa wanafanya mambo makubwa, watu wadogo wanajifunza kuvaa kanzu majukwaani[emoji2][emoji2][emoji2]! JPM 5 tena!View attachment 1575546View attachment 1575547

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Afadhali huyu ana maanisha anachosema si wale wa Kigoma kuwa Dubai ya Afrika. Tumpate wapi Rais kama JPM?! Watanzania tarehe 28/10/2020 tumpe JPM na wagombea wa CCM kura za kishindo za ndiyoo. Ili Lissu na mabwana zake akina Robertson wajue Watanzania si wa mchezo mchezo wala si wa kuchezewa.
 
Kuna watu wanoamini ushirikina wanakuwa na matumaini kuwa jambo fulani litatokea tu kama mganga/mchawi wao ailvyowaaminisha hata kama dalili zote zinapingana na walichoaminishwa na mchawi wao. Ukishangaa ya musa utaona ya nani????
 
Hii inaitwa tunatekeleza kwa kishindo.
#mafigamatatuhuivishamsosi #betritatuhutoamwangamkali
#kurayangukwamgufuli
#kurazangukwawagombeawaccm
#mi5tenakwamagufuli.

Magufuli amefanya mengi kwa kipindi kifupi sana ni imani yetu atafanya mengi zaidi kwa kipindi kinachofuata.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Comment za wengi humu mpaka zinasikitisha Yaani...wachache sana wamemuelewa zito na nadhani hata yeye hapendi aeleweke na watu wenye akili za kuvukia barabara.
 
Nadhani hii ndio ile “kukaribia kuokota makopo” aliyoiongelea mwanasiasa mmoja hivi karibuni. Zitto you are not serious. Busy kuandaa baraza la mawaziri? Huu ni utoto sasa
 
😂😂😂😂😂😂Dunia simama me nishuke nimechoka na vituko vyako
 
Kwani Zitto alivyowahi kusema kuwa kutakuwa na mgombea mmoja wa uraisi kupitia kambi ya upinzani mlikuwa hamuelewi?

It seems ACT wako na Lissu mwanzo mwisho.

Membe aliingia kama plan B incase Lissu angefanyiwa magumashi na NEC
Perfect. Mwaka huu tumejipanga. Tar 26 itatangazwa rasmi kura zote kwa Lissu
 
Kwani mikoa itakuwepo! Au chadema hizi ni ndoto?
 
Sasa wakitathmini pia kuwa kuna uwizi wa kura msije na mapovu kuwa ni mabeberu!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uongo wa wazi kabisa
 
Zitto na washabiki wa Tundu wanazungumza mambo yasiyokuwepo
 
Nahisi wanapigaa chenga tume ya uchaguzi na mafisiemm...hawachelewi..kuleta goal LA mkono,...muungano wao na chadema ya kumsupport RAIS mtarajiwa TAL isifeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…