Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Mbona unakomaa na idara, kwani hizo barua unauhakika zimetoka katika idara hii unayoitaja kila wakati acha hasira. Fuata kanuni za utumishi wa umma hasa idara yako ya police kama investigators.
Rasmi nimekupuuza! Huna hoja, maana swali ulilouliza awali nikakujibu, nikategemea utanipa consequences za mtu kusimamia sheria, kanuni, taratibu na ethics za kazi ni zipi kulingana na warning uliyonipa umeishia kubwabwaja
 
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utatamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.
Tuzidisha maombi na kuungana ili tuikomboe nchi yetu
 
Mh. Membe hakucheza karata yake vizuri wakati wa uongozi wa Rais Kikwete.
Hakujitangaza vizuri kwa kuzunguka mikoa yote.
Ilikuwa rahisi kwa yeye kwenda Ulaya kuliko mikoani.
Mikoa kama Singida sidhani kama aliwahi kufika.
Huyu ni Mwanadiplomasia ambaye siasa hana karama nayo.
 
Kwani sasa hivi wewe unaona kuna vyama vingapi vyenye nguvu?
 
Tuwatakie heri. Ila watakiwa wawe makini sana wakati wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Hiyo ndiyo kete pekee ya kujihakikishia ushindi.
Hilo ni muhimu sana kama mswaki asubuhi
 
Sisi maafande hatutaki kutumiwa kisiasa Tunataka haki na kazi yetu Ni kuwalinda wananchi si kuwaumiza wananchi
Hongereni sana walinzi wetu kwa kuliona hilo maana hata nyinyi mmetokea huku uraiani, kuna baba zenu, mama zenu, shangazi zenu, wadogo zenu na kaka zenu pia
 
Jiandae mapema kisaikolojia maana hutaamini macho yako wakati mh Lissu atakuwa anakula kiapo kukabidhiwa ikulu
 
Mwisho wenu wa kula kwa kutegemea chakubanga ameamua nini siku hiyo, umewadia
 
Watumishi woote wa Tanzania hawaitaki kabisa ccm, wakulima woote Tanzania hawaitaki ccm, wafanya biashara woote Tanzania hawaitaki ccm, machinga woote Tanzania hawaitaki ccm.
Slow slow but sure...
Endeleeni kuwashwa washwa.
 
Walishindwa ukawa na mvuto wa lowasa waweze kweli kwa act na Cha Domo? Kifupi waungane wasiungane hawawezi kushinda zaidi ya kuusindikiza ushindi wa kishindo wa magufuli
Hutaki rudi kwenu koromitdje
 
Aisee kumbe bado polisi wema wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…