Uchaguzi 2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

Mgombea atakuwa mmoja ACT NA CHADEMA

Kama kweli mmedhamiria kwa hili basi huyo atakaemuachia mwenzie asirudishe form. Itakua ni utoto wote warudishe form halafu mseme mmoja atamuachia mwenzie. Hii ni tahadhari tu.
 
Wewe ni hopeless huwezi ukawa askari utakuwa mwanasaccos tu acha kujifika uaskari.
 
Lowassa alichafuliwa fisadi,mgonjwa. Ukizingatia alikuwa hawezi kuongea na kujitetea na kumwaga Sumu. Lowassa angekuwa kwenye hali nzuri ya kuongea,angeshinda.
Ushindi ni zaidi ya kumwaga sumu.

1995- Mrema =27.7%

2000 - Lipumba = 16.6%

2005 - Lipumba =11.26%

2010 - Dr Slaa = 27.05%

2015 - Lowasa = 39.97%


Na Lowasa ndiye alikuwa bubu kuliko wote hapo.
 
Ushindi ni zaidi ya kumwaga sumu.

1995- Mrema =27.7%

2000 - Lipumba = 16.6%

2005 - Lipumba =11.26%

2010 - Dr Slaa = 27.05%

2015 - Lowasa = 39.97%


Na Lowasa ndiye alikuwa bubu kuliko wote hapo.
Ina maana asingekuwa bubu,angeshinda.
 
Mgombea atakuwa mmoja ACT NA CHADEMA


Habari hii ni mbaya sana kwa wale wachawi na wapiga ramli chonganishi hasa kutoka kile chama pendwa.

Watakuwa wamefura vilivyo kwa hasira na mapovu mdomoni mithili ya waliomeza OmO.

Wanaendelea kuishiwa na ya kusema.

Hakuna kinachoonyesha matumaini kwa upande wao. Kwa sala na suala majibu yanaendelea kuwa negative.

Eeh mola wetu na ukawaonyeshe ukuu wako na kuwa kamwe hakuna Mungu kama wewe.
 
Mngekua mnajuwa mnachokitaka mngetoa Ajira kwa vijana.
 
Mchukueni na hashim rungwe hana shida.
 
Mkuu! Subiri oktoba ujionee vituko,
Ccm hii si kutoka madarakani kwa namna hii
 
Washa chelewa maana kwa sasa hata wakipanga mipango hovu juu ya mh Lissu hizo habari zinatoka kabla hawajamaliza kikao chao.
Lissu kuwa Rais hilo Jambo halipo na halitakuwepo.

Naomba baada ya tarehe 28/10/2020 tusisikie lugha za kuibiwa kura au time huru ya uchaguzi.
 
Baada ya kutangazwa mshindi kwa mh Lissu na kuapishwa naona utakuwa wa kwanza kupanda kwenye Nyahunge express kurudi uliko zoea
Vipi boss jana Dodoma imetikiswa siyo????


Baada ya tarehe 28/10/2020 lugha zitakuwa hivi!

1.Tumeibiwa kura
2.Kuna jambo kubwa linaenda kutokea
3.Watanzania kuweni tayari kwa lolote viongozi wenu tunaenda kutoa maelekezo.
4.Muda si mrefu tunaingia barabarani
5.Tayari tumeishafungua kesi the hegue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…