Zitto: Msaidizi wa Maalim Seif alinipigia simu mara 4 kutaka kunijulisha msiba sikupokea ndipo akanipigia Rais Mwinyi nikapokea kwa mujibu wa sheria

Zitto naye ana mambo ya hovyo sn, kwa hiyo simu ya Mwinyi ndiyo muhimu sn kwake? hovyo kabisa
 
Hivi wale wanaoweka miili ya watu kwenye viroba ndio wasioogopa taarifa za misiba?
 
Hii thread ni nzuri ila hiyo hoja yako ya mstari mwisho imevuruga taaluma yako, huna kitu kichwani
 
Alijuaje ni taarifa ya msiba akaacha kupokea?
 
Kumwamini Zitto utahitaji nguvu ya ziada !!
 
Hoja hujibiwa kwa hoja!
Wapi na wapi kuweza kuwa kiongozi na kushtushwa ama kuogopa msiba?

Zitto ni mwanadamu kama wewe na mimi na hata rais wako Magu mara kadhaa ukitokea msiba huandika 'kashtushwa' mana hili ni jambo ingawa ni la haki lakini kuns pazia nene lilopo kutokujua nani na lini na wakati gani atafariki ndio mana mwanadamu akipata taarifa ya fulani kafa hushtuka na kuogopa hasa kwa mtu uliyemfahamu na kumjua zaidi wa karibu yako, Quran tukufu sisi waislamu imekuwa ikituasa mara kadhaa kuogopa mauti na kututaka tutende mema ili tupate msaada wa Mungu siku ya siku.

Ndio mana kabla sikutaka kukujengea hoja kwamba haikuwa matumaini yangu kwa hata hili la muumba hulifahamu wala sikutegemea kwamba ungekuwa hufahamu chochote kuhusu mauti/kufa.
 
Huu mjani ulioanza kuuvuta ukubwani kamwe hautakuacha salama, yaani sasa hivi huna tofauti na jingalao kabisa unamwaga mashudu tupu hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…