Ndio lipi ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ kuna jina lake
Hujamfukuza? Maana yeye sio mapenzi tena bali mahaba kwa mkulu!Kuna mtu alimwaga chozi kwenye msiba wa Mkapa pale uwanjani
Hahaaa! Wewe unafaa kuwa nani?Hafai kuwa hata mbunge.
Kumwaga machozi na kuogopa kupokea sim havifananiKuna mtu alimwaga chozi kwenye msiba wa Mkapa pale uwanjani
Kuliko yeyote tz kwasasaPamoja na hili Zitto ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya kitaifa kuliko Tundu.
Kumwaga machozi na kuogopa kupokea sim havifanani
Hata mwenye furaha anaweza kumwaga machozi kama ilivyo kwa mwenye huzuni, hilo ni tendo lisilo la hiari
Mbona simu ya Rais Mwinyi aliipokea wakati maudhui ni yale yale?Wapi na wapi kuweza kuwa kiongozi na kushtushwa ama kuogopa msiba?
Zitto ni mwanadamu kama wewe na mimi na hata rais wako Magu mara kadhaa ukitokea msiba huandika 'kashtushwa' mana hili ni jambo ingawa ni la haki lakini kuns pazia nene lilopo kutokujua nani na lini na wakati gani atafariki ndio mana mwanadamu akipata taarifa ya fulani kafa hushtuka na kuogopa hasa kwa mtu uliyemfahamu na kumjua zaidi wa karibu yako, Quran tukufu sisi waislamu imekuwa ikituasa mara kadhaa kuogopa mauti na kututaka tutende mema ili tupate msaada wa Mungu siku ya siku.
Ndio mana kabla sikutaka kukujengea hoja kwamba haikuwa matumaini yangu kwa hata hili la muumba hulifahamu wala sikutegemea kwamba ungekuwa hufahamu chochote kuhusu mauti/kufa.
Na huyo wa kwenu anayeogopa ushindani huru je! Yeye anafaa ?Pamoja na hili Zitto ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya kitaifa kuliko Tundu.
Ukimuamini M Mungu unayaelewa kabisa maneno ya Zitto, lakini ukiwa na akili ya kibinaadamu tu ni vigumu kuelewa maelezo yake.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo hata Tundu Lisu anaitumia sana bila kumsahau bwashee Lema!Huu mjani ulioanza kuuvuta ukubwani kamwe hautakuacha salama, yaani sasa hivi huna tofauti na jingalao kabisa unamwaga mashudu tupu hapa jukwaaniView attachment 1715415
Tundu ye aba uwezo katika masuala ya kimataifa,jiwe hawezi.Pamoja na hili Zitto ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya kitaifa kuliko Tundu.
Zitto bado kijana mdogo, msimshambulie sana..Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.......!Kumbe mnajuwa siasa zilizopo siyo za kawaida washenzi nyie.
Ayatollah KhomeinNdio lipi ๐ ๐ ๐
Muha kweli muha,kwa kupenda sifa, zamani Waha utawasikia ukiwe kwenye treni usiinite Kalumanzira niite braza K.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo hajakua raisi.Kiongozi ambaye hasikilizi wasaidizi๐ค๐ค๐ค๐ค
Kutopokea sim ya msaidizi wa maalim seif ni dharau. Sijui kama za wasaidizi wengine na wananchi zinapokelewa
Leo mam D nimekulike. Zitto sio mwanaharakati.Zito anataka ukubwa wa raha sio shida๐๐๐๐