Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mama D hebu tulieni kidogo jamani khaaaKiongozi ambaye hasikilizi wasaidiziπ€π€π€π€
Kutopokea sim ya msaidizi wa maalim seif ni dharau. Sijui kama za wasaidizi wengine na wananchi zinapokelewa
Ndio anaweza, mbona maguu wakati wa korona alijifungia chato? Au yeye sio rais?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Hujui hata kiswahili,kuna ushupavu ktk kifo,ulisikia wapi hiyo.Habari mbaya inahitaji Ujasiri siyo ushupavu.Kiongozi lazima uwe shupavu kwenye hali zote
Unachoshupalia wala hakikusaidii we wala hakimshushi Zitto,Ni porojo tu muda uende. Si unajua tena Jf sehemu ya kutolea stress uchovu wa kifikra. Unajitahidi.Imagine, huyo ndio baba mwenye nyumba. Kiongozi na kichwa cha familia
Alijuaje kuwa anapewa taarifa ya msiba?Hujui hata kiswahili,kuna ushupavu ktk kifo,ulisikia wapi hiyo.Habari mbaya inahitaji Ujasiri siyo ushupavu.
Mtu kuwa Rais ni maamuzi ya wananchi, kwasababu urais ni zaidi ya Ujasiri war kupokea taarifa za msiba. Ila km Ni kipimo kwa mujibu wa mtoa mada basi mtu yeyote anaweza kuwa rais ilimradi ni jasiri tu.
Kabla ya kuwa kiongozi wa nchi ukumbuke ni binadamu, ameuvaa mwili na anahisia zote za furaha, uchungu, uoga n.k. Si kila wakati mtu huwa tayari kupokea taarifa mbaya, kuna wakati hutamani kusikia kitu kibaya kabisaaa.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Hapa tunamjadili mgombea urais bwashee!Asee watunajua kukuza mambo duh! Hata hili ni la kujadili kiasi hiki?
Wabunge wanaofaa ni wale wagawa taulo za kike sio?Hafai kuwa hata mbunge.
Ndio mana tunasema unadhalilisha taaluma yako., Zitto amezingatia protocal zaid katika hili mbona ameeleweka sana. tumemfahamu haraka. Kama angetangaza kifo cha maalim kwa kupigiwa simu ni msaidizi wakati ki-protacal atangaze rais wa Zanzibar anahisi asingekuwa amefuata utaratibu.,Mbona simu ya Rais Mwinyi aliipokea wakati maudhui ni yale yale?
Ila nimekuelewa sana bwashee!
Kweye msiba wa mkapa ulitumwa wewe mkuu?My take; Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Mbona kuna jamaa huwa haendi kabisa kwenye misiba, yeye kazi yake kutuma rambi rambi
Hili ulioandika hapa liliwahi kunitokea kwa baba yangu. Hakuna siku ilikuwa ngumu kama hiyo katika naisha yangu. Simu zilipigwa nyingi, sikupokea mpaka nilipofika nyumbani kuhakikisha nwenyewe!Haikuwa daharau mkuu kutokana na hal aliyokuwa nayo maalim lazma hofu ingemjaa
Sorry kwa mfano huu umeenda nyumban umekuta hal ya mama yako n mbaya au umepigiwa simu kuwa mzee yupo hoi hospital na mmetuma pesa za matibabu au ana bima kubwa baada ya muda mfupi unakuta missed call nyingi au unapigiwa sana lazma uchanganyikiwe kidogo kwakuwa utajua lolote limetokea huko kutokana na hal uliyomuona au muacha nayo mzee/mama
Itakubid uvute pumz ujiandae kisaikolojia il upokee simu hyo
Mkuu wanaomlaumu zito hawajawah patwa na matatizo aina hii mihemko ya kichama au kisiasa ndyo inawalazimu kujibu hivyo ukweli n huo uliousema weweHili ulioandika hapa liliwahi kunitokea kwa baba yangu. Hakuna siku ilikuwa ngumu kama hiyo katika naisha yangu. Simu zilipigwa nyingi, sikupokea mpaka nilipofika nyumbani kuhakikisha nwenyewe!
Nani kasema Zitto Kabwe ndio alitakiwa kutangaza kifo?Ndio mana tunasema unadhalilisha taaluma yako., Zitto amezingatia protocal zaid katika hili mbona ameeleweka sana. tumemfahamu haraka. Kama angetangaza kifo cha maalim kwa kupigiwa simu ni msaidizi wakati ki-protacal atangaze rais wa Zanzibar anahisi asingekuwa amefuata utaratibu.,
maamiri jeshi wakuu wote huogopa habari za msiba, kutegemeana na mahusiano na marehemuAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.