Zitto: Msaidizi wa Maalim Seif alinipigia simu mara 4 kutaka kunijulisha msiba sikupokea ndipo akanipigia Rais Mwinyi nikapokea kwa mujibu wa sheria

Kiongozi ambaye hasikilizi wasaidizi🤔🤔🤔🤔
Kutopokea sim ya msaidizi wa maalim seif ni dharau. Sijui kama za wasaidizi wengine na wananchi zinapokelewa
Mama D hebu tulieni kidogo jamani khaaa

😄😄😄😄😄😄
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.

Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.

Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.

Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.

Chanzo: Clouds TV

My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
Ndio anaweza, mbona maguu wakati wa korona alijifungia chato? Au yeye sio rais?
 
Kiongozi lazima uwe shupavu kwenye hali zote
Hujui hata kiswahili,kuna ushupavu ktk kifo,ulisikia wapi hiyo.Habari mbaya inahitaji Ujasiri siyo ushupavu.

Mtu kuwa Rais ni maamuzi ya wananchi, kwasababu urais ni zaidi ya Ujasiri war kupokea taarifa za msiba. Ila km Ni kipimo kwa mujibu wa mtoa mada basi mtu yeyote anaweza kuwa rais ilimradi ni jasiri tu.
 
Imagine, huyo ndio baba mwenye nyumba. Kiongozi na kichwa cha familia
Unachoshupalia wala hakikusaidii we wala hakimshushi Zitto,Ni porojo tu muda uende. Si unajua tena Jf sehemu ya kutolea stress uchovu wa kifikra. Unajitahidi.
 
Hujui hata kiswahili,kuna ushupavu ktk kifo,ulisikia wapi hiyo.Habari mbaya inahitaji Ujasiri siyo ushupavu.

Mtu kuwa Rais ni maamuzi ya wananchi, kwasababu urais ni zaidi ya Ujasiri war kupokea taarifa za msiba. Ila km Ni kipimo kwa mujibu wa mtoa mada basi mtu yeyote anaweza kuwa rais ilimradi ni jasiri tu.
Alijuaje kuwa anapewa taarifa ya msiba?

Labda kuna dharura imejitokeza na msaada wake wa haraka ulihitajika?!!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.

Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.

Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.

Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.

Chanzo: Clouds TV

My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
Kabla ya kuwa kiongozi wa nchi ukumbuke ni binadamu, ameuvaa mwili na anahisia zote za furaha, uchungu, uoga n.k. Si kila wakati mtu huwa tayari kupokea taarifa mbaya, kuna wakati hutamani kusikia kitu kibaya kabisaaa.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.

Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.

Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.

Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.

Chanzo: Clouds TV

My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!

Sasa ni kwa nini Magufuli ni amiri jeshi na ilhali kila anapokwenda na kuonekana anakuwa amezunukwa na mpambe wake na askari tele kumlinda ili asiuawe, kama haogopi kufa si angelipunuza wanaomlinda?
 
Huyu jamaa tangu nilipojua kuwa ni ndimi mbili huwa simuamini kabisaaa.
 
Asee watunajua kukuza mambo duh! Hata hili ni la kujadili kiasi hiki?
 
Mbona simu ya Rais Mwinyi aliipokea wakati maudhui ni yale yale?

Ila nimekuelewa sana bwashee!
Ndio mana tunasema unadhalilisha taaluma yako., Zitto amezingatia protocal zaid katika hili mbona ameeleweka sana. tumemfahamu haraka. Kama angetangaza kifo cha maalim kwa kupigiwa simu ni msaidizi wakati ki-protacal atangaze rais wa Zanzibar anahisi asingekuwa amefuata utaratibu.,
 
My take; Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.

Mbona kuna jamaa huwa haendi kabisa kwenye misiba, yeye kazi yake kutuma rambi rambi
Kweye msiba wa mkapa ulitumwa wewe mkuu?
 
Haikuwa daharau mkuu kutokana na hal aliyokuwa nayo maalim lazma hofu ingemjaa

Sorry kwa mfano huu umeenda nyumban umekuta hal ya mama yako n mbaya au umepigiwa simu kuwa mzee yupo hoi hospital na mmetuma pesa za matibabu au ana bima kubwa baada ya muda mfupi unakuta missed call nyingi au unapigiwa sana lazma uchanganyikiwe kidogo kwakuwa utajua lolote limetokea huko kutokana na hal uliyomuona au muacha nayo mzee/mama

Itakubid uvute pumz ujiandae kisaikolojia il upokee simu hyo
Hili ulioandika hapa liliwahi kunitokea kwa baba yangu. Hakuna siku ilikuwa ngumu kama hiyo katika naisha yangu. Simu zilipigwa nyingi, sikupokea mpaka nilipofika nyumbani kuhakikisha nwenyewe!
 
Mkuu wanaomlaumu zito hawajawah patwa na matatizo aina hii mihemko ya kichama au kisiasa ndyo inawalazimu kujibu hivyo ukweli n huo uliousema wewe
 
Kuna tofauti kubwa Kati ya zitto na tundu,,, zitto Ni mwanasiasa na sio mwanaharakati,,,anafaa Sana kuwa kiongozi,, Kama sio figisu angeshinda majimbo mengi Sana uchaguzi uliopita,, alijipanga Sana Kama chama
 
Ndio mana tunasema unadhalilisha taaluma yako., Zitto amezingatia protocal zaid katika hili mbona ameeleweka sana. tumemfahamu haraka. Kama angetangaza kifo cha maalim kwa kupigiwa simu ni msaidizi wakati ki-protacal atangaze rais wa Zanzibar anahisi asingekuwa amefuata utaratibu.,
Nani kasema Zitto Kabwe ndio alitakiwa kutangaza kifo?

Hiyo itifaki kila mtu anaijua ndio maana Zitto Kabwe amesema aliipokea hiyo simu kwa mujibu wa sheria maana yake ni kwamba vinginevyo asingepokea angeendelea kuogopa!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.

Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.

Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.

Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.

Chanzo: Clouds TV

My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.

Maendeleo hayana vyama!
maamiri jeshi wakuu wote huogopa habari za msiba, kutegemeana na mahusiano na marehemu
 
Back
Top Bottom