Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Ni Zitto au former CAG?
 
Mkuu, hii ni comedy au satire? Anyway, natumaini itapokelewa vyema.
 
JK aliwekwa na wana mtandao lakini alipoingia Ikulu ule mtandao iligawanyika mpaka kwenye chama na baraza la mawaziri!

Zitto kazi yake ilikuwa ni kula vichwa vya upande wa pili!

Jiulize zile siri kama za kina Karamagi na wengineo. Zitto alikuwa anazipata wapi!!

Halafu Kampeni 2010. JK alipiga kampeni Kigoma lakini kwenye jimbo la Zitto aliruka!!
 
Hivi kwani Zitto yupo? Anachofanya hasa ni nini? Maana kuna status nyingine tunajipa huwa hazipo. Mtu hana impact yoyote lakini analazimisha tuamini na yeye naye ana kitu mkononi
 
Kura huwa haziibwi ila hazitoshi huwa hamuambiwi ukweli!
Mm nilikuwa mtumish wa halmashauri huko Tanzania. Nilishiriki chaguzi nyingi kama msimamizi ccm hawashindi mzee. Bila hila hawana uwezo wa kushinda hata uchaguzi wa kitongojo hao. Acha nikuache ukinengua hapo lumumba
 
Mm nilikuwa mtumish wa halmashauri huko Tanzania. Nilishiriki chaguzi nyingi kama msimamizi ccm hawashindi mzee. Bila hila hawana uwezo wa kushinda hata uchaguzi wa kitongojo hao. Acha nikuache ukinengua hapo lumumba
Weka ushahidi vinginvyo ni porojo na blah blah blah
 
Wanaharakati wa haki za wanawake wamepigania usawa miaka mingi sana , usawa sio mishahara sawa na vyeo tuu hata kukosoana kuwe na usawa, waombe wanawake radhi tafadhari
 
Mm nilikuwa mtumish wa halmashauri huko Tanzania. Nilishiriki chaguzi nyingi kama msimamizi ccm hawashindi mzee. Bila hila hawana uwezo wa kushinda hata uchaguzi wa kitongojo hao. Acha nikuache ukinengua hapo lumumba
Ndio uliyotaka kusema lakini ushahidi huna,huo utumishi wako nawe ulisaidia kuiba kura za chama chako kweli wasaliti hawaishi dunia hii!
 
Wanaharakati wa haki za wanawake wamepigania usawa miaka mingi sana , usawa sio mishahara sawa na vyeo tuu hata kukosoana kuwe na usawa, waombe wanawake radhi tafadhari
Mkuu Kong Chi, hapa umechanganya vitu viwili, equality na equal status or equal treatment, kinachopiganiwa ni equal status na equal rights and treatment lakini sio usawa wa kila kitu. The difference between male and female is not only the sex organs, but also the way we think, men thinks, women feels, ukimtukana tusi la nguoni mwanaume, the impact ya tusi hilo ni tofauti na ukimtukana mwanamke, kwa mwanamke linamuumiza sana, ndio maana hata kisheria, mwanaume ukitukanwa tusi la nguoni, kama hakuna mtu mwingine yeyote aliyesikia ukitukanwa, then huwezi kushitaki popote bila ushahidi, lakini mwanamke akitukanwa tusi la nguoni, hata bila ushahidi wa mtu mwingine yoyote kusikia, akikushitaki, unaadhibiwa. Haki hiyo ya mwanamke kushitaki bila ushahidi, iko limited kwenye kutukanwa matusi ya nguoni yanayohusu matumizi ya kile kiungo cha mwanamke only. Sheria ya kosa hilo inaitwa "crimes against the chastity of a woman".

Hivyo tangu kuumbwa, mwanamke na mwanaume tumeumbwa tofauti na hakuna hata siku moja tutafanana au kuwa sawa kila kitu, never!.

Na ndio maana wenzetu walioendelea wana kitu kinachoitwa "Managing Diversity", japo tumeumbwa the same, but tuko tofauti, jinsi ya kuumanage utofauti wetu.

Tena Tanzania kwa sasa tuna bahati sana, tumempata kiongozi anayejua managing Diversity. Rais Mama Samia, hata kabla hajawa rais, alizungumzia wanawake katika uongozi na kusema mwanamke hata uwe na mamlaka kubwa kiasi gani, lazima ujitambue na ukiwa nyumbani kwa mumeo, nafasi ya mwanamke ni ile ile, lazima uwe chini, muheshimu mume, mpe nafasi yake na wewe nafasi yako.

Na ile siku SSH anaapishwa akasema wazi kabisa, point blank, "Mimi sasa ndiye rais wa JMT, ambaye jinsia yake ni mwanamke".

Hata ikitokea misiba ya ndugu wa karibu, mwanaume utapigiwa simu bila kuulizwa uko wapi na kupewa hizo sad shocking death news, lakini kwa mwanamke, haambiwi direct, na mwanamke akisikia bad news huangusha kilio instantly wakati mwanaume unaweza kuji compose na kulia ukifika nyumbani.

Though men and women are equal, but we are different!. Wanaume tujichukulie jinsi tulivyo na male chauvinism na kuwakubali wanawake jinsi walivyo na women's feminism.
P
 
Kumskiliza zitto ni kupoteza muda yule ana kazi maalumu kwenye upinzani wala siyo mtu wa kumwanini hata kidgo, Yule yupo kwa maslahi yake na hana msimamo pia, watu wa tiss pia wanatumia yeye kama ngao ya upinzani ili kudanganya umma wa watanzania
 
Nikifiria utaratibu wa vijana wa CDM kuvituhumu vyama vingine vya upinzani Tanzania nani ni nani yuko nyuma yao nimebaini ndani ya chadema wengi ni mbulula hawaijui siasa kwa mapana yake kwa huwezi kuvifanya vyama vyote vifuate mlengo mmoja kila kina mikakati yake acheni kila mpinzani afanye siasa anavyoweza.
 
Ndio uliyotaka kusema lakini ushahidi huna,huo utumishi wako nawe ulisaidia kuiba kura za chama chako kweli wasaliti hawaishi dunia hii!
Endelea kunengua nyimbo za bi khadijah kopa.yule anayewanengulisha Kule chimwaga hadi mnachagua wenye mafail mirembe
 
Pia wakati huo huo wa Jk ndio Mbowe alipewa fursa ya kuendelea biashara zake pale Billicanus bure kwa miaka 10 bila ya kulipa kodi kuanzia 2006-2015 na mchakato wa kubinafsisha jengo kutoka NHC.kwenda kwa Mbowe ulianza wakati huo

Wakati huo huo wa JK ndio Mbowe alihakikishiwa kupewa kandarasi ya kusafirisha vifurushi pale KIA kwa njia ya single source procurement

Pia Semina za Serikali na matangazo ya serikali yakaanza kupelekwa kwny Hotel za Mbowe na Tanzania Daima

Mnapotaja fursa za Zitto alizopewa na JK mkumbuke kuwa kipindi hicho hicho ndio Chadema walimpa Tiketi ya kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa PAC


Mnapotaja fursa alizopata Zitto wakati wa JK mkumbuke na fursa walizopata kina Mbowe na Mbatia ikiwemo Ubunge wa kuteuliwa
 
Kwani sisi tumemtuma kazi ya kuwa mkosoaji au alijipa mwenyewe? At least hakuna mtu anayejificha kuwa hajulikani
 
Everyone knows Zitto ni mdini. Ni kwasababu hiyo ndio maana unamuona ana raha sana, yani nikwambie, ule udini wa kipindi cha Kikwete ndio umeshika chati kimyakimya, wakati JPM alitunyoosha wote bila kujali dini na tukanyooka, lakini wenzetu akishashika wa upande wao utawaona tu wanabonyezana, we mcheki Ridhwani, Kina Dau, et al , they know what time it is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…