Katesh stand
Member
- Sep 24, 2020
- 41
- 75
Mali gani anayoitaka mzungu ambayo ameikosa awamu hii!?Nchi hii inabidi tuanze kukaguana vyeti vya National Service wasio nacho waende wakapewe values za nchi hii.
Watu wamekuwa washamba sana toka lini mgeni akakupenda hivi hivi? Wameona mali ndio maana visa haviishi
Labda ni njia ya kuomba namna ya kuhamia huko "mitonini," maana kwa hali halisi ilivyo baada ya kushindwa sandukuni vile, hivi kweli nani mwenye akili timamu angetamani kuendelea kukaa tu kama raia wa kawaida akipitwa mtaani bila kofia adimu ya uheshimiwa??? (Kwa wasiojua, Mr Heavy alikuwa Mbunge International, nakumbushwa hapa, halafu Mr Hai yeye alikuwa Mbunge wa Kitaifa, Mr Mzungu akiwa wakili wao. Habari ya wananchi majimboni waliiweka PENDING. Ila walijipanga si utoto!!)Zitto Kajikomba kwa wazungu weee wane mu ignore sasa anajikomba kwa Lisu kibaraka wa wazungu ili labda Lisu am recommend kwa wazungu naye apate kick!!
Tanzanite na Bwawa la Mto RufijiMali gani anayoitaka mzungu ambayo ameikosa awamu hii!?
Chukua maziwa changanya na kinyesi cha nguruwe kunywa utoe sumu ya ujinga akilini mwako.I guess it will be a HUGE online protest. Muda utasema. Naomba JF mods wasiifute hii sentensi kwa ajili ya reference baadaye.
Rafiki muda mwingine unafurahisha kweli 😅😅😅Kwahiyo Tundu Lisu ni beberu siku hizi!
Wakianza online protest niquote pleaseI guess it will be a HUGE online protest. Muda utasema. Naomba JF mods wasiifute hii sentensi kwa ajili ya reference baadaye.
Kunamali gani hapa?Nchi hii inabidi tuanze kukaguana vyeti vya National Service wasio nacho waende wakapewe values za nchi hii.
Watu wamekuwa washamba sana toka lini mgeni akakupenda hivi hivi? Wameona mali ndio maana visa haviishi
Una bahati sana hii kauli yako ya woga sijaisoma, vinginevyo usingekaa usahau kwamba Oktoba 28 wapinzani hawaamini kilichowapata kwenye BB. Sasa hela za Wazungu za ufadhili wa kampeni mnarudisha, au 2025 mnakuja na staili gani???Chukua maziwa changanya na kinyesi cha nguruwe kunywa utoe sumu ya ujinga akilini mwako.
Wewe hauzione eeeh!Kunamali gani hapa?
Halafu hao EU hawana hadhi ya kuizodoa Tanzania kwa sababu hela zao zilikuwa za Kovidi, na zimeisha kama korona ilivyoisha. Majibu wanayo lakini kazi kujisogeza kwetu. Sisi tumeamua kwenda kwa mtindo mwingine, wataelewa somo hawa jamaa tukiwa tumefika mbali sana sisi.Kabudi huyu anawakejeli wabunge wa EU; anafikiri as if anawajibu wapinzani wa Tanzania siyo.
Namuomea huruma sana katibu Mkuu wa wizara hii...hii jambo kalifanya kubwa kisa apate sifa kwa aliyemteua majuzi...analo.
Amazing!!!Wewe hauzione eeeh!
Kuna wakati hapa kulikuwa na:-
1.Clinton
2. Bush
3.Obama
At same time unafikiri walikuja kuselfie?
Nchi hii ina utajiri mkubwa wa Natural resources asikuambie mtu.
Hiyo kamati ndio kajibu msimamo kwanza wa hao wajumbe sio msimamo wa bunge la ulaya wala wa European Union wala wa mabunge individual ya nchi moja moja ya ulaya au serikali individual za Ulaya ni kama sisi mjumbe wa bunge la Afrika mashariki atoe tamko au kamati ya bunge la jumuiya ya Africa madhariki itoe Tamko !!!Kabudi huyu anawakejeli wabunge wa EU; anafikiri as if anawajibu wapinzani wa Tanzania siyo.
Namuomea huruma sana katibu Mkuu wa wizara hii jambo kalifanya kubwa kisa apate sifa kwa aliyemteua majuzi...analo.
hiyo kamati ndio kajibu msimamo kwanza wa hao wajumbe sio msimamo wa bunge la ulaya wala wa European Union wala wa mabunge individual ya nchi moja moja ya ulaya au serikali individual za ulaya ni kama sisi mjumbe wa bunge la Afrika mashariki atoe tamko au kamati ya bunge la jumuiya ya Africa madhariki itoe Tamko !!!
Mkuu ni mali zipi ambazo wageni wameona mpaka waanze visa na sisi?Nchi hii inabidi tuanze kukaguana vyeti vya National Service wasio nacho waende wakapewe values za nchi hii.
Watu wamekuwa washamba sana toka lini mgeni akakupenda hivi hivi? Wameona mali ndio maana visa haviishi
Jibuni hoja, mlizipeleka wapi bil 74 mlizopewa kupambana na COVID-19? Hizo ni hela ni za MABEBERU wenyewe wanataka maelezo ya kina.hiyo kamati ndio kajibu msimamo kwanza wa hao wajumbe sio msimamo wa bunge la ulaya wala wa European Union wala wa mabunge individual ya nchi moja moja ya ulaya au serikali individual za ulaya ni kama sisi mjumbe wa bunge la Afrika mashariki atoe tamko au kamati ya bunge la jumuiya ya Africa madhariki itoe Tamko !!!
Mkuu unafikiria wanataka wakupe tu hela kwakuwa nchi yako ni last born wa nchi zao?Mkuu ni mali zipi ambazo wageni wameona mpaka waanze visa na sisi?
Kama ni mali mbona tuliwakabidhi wenyewe kwa kuingia nao mikataba feki chini ya serikali ya chama chetu pendwa? Bila misaada yao hatuwezi kupata maendeleo ya kweli chini ya Chama chetu pendwa.Mkuu unafikiria wanataka wakupe tu hela kwakuwa nchi yako ni last born wa nchi zao?
mwambie huyo mbunge aulize serikali ambayo ndio ilitoa pesa hizo pesa hazikutolewa na bunge la ulaya anatakiwa aulize serikali kwake sio kutuuliza sisi maruhuni mkubwa huyoJibuni hoja, mlizipeleka wapi bil 74 mlizopewa kupambana na COVID-19? Hizo ni hela ni za MABEBERU wenyewe wanataka maelezo ya kina.
Mpeni ushirikiano yule jamaa aliyewasaidia kuzikwapua maana kapewa masaa 48 kufikisha majibu mwenye Kamati.
Kumbe Lissu ni msemaji wa EU?