Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 544
- 396
Mwandishi: Kwa nini umeamua kuwa na mwanasheria mzungu?Binafsi niliwahi sema kupitia hapa JF kuwa, Lissu ni muumini mzuri wa historia, na kwamba wakati wengi tumesoma historia kama hadithi, Lissu anaitumia historia kama kioo cha maisha yake, na hii ni moja ya sababu ya Lissu kuonekana ni mtu mwenye kuona mbali kwani katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia tu.
Amka ndugu acha kulala watakuvunjia yaiTqn
Tanzanite na Bwawa la Mto Rufiji
Another comedy from wajasiriasiasa aka wapinzani uchwara [emoji16][emoji23]Kumbe Lissu ni msemaji wa EU?
Member since 28/10/2020 ww bado mgeni sanaAmazing!!!
Really? Where is your favorite alternative? Ungeipenda hiyo definition, ukweli si uongo, ningekushangaa na kuhoji lini umeamua rasmi kuunga mkono juhudi?Very bad definition
Hampo serious nyie praising team, wale jamaa hawashindwi kitu wakiamua, muhimu acheni vitabia vyenu vya kuwatukuza watawala, nyie ndio mnaosababisha wajione wapo sahihi kwenye kila jamboTqn
Tanzanite na Bwawa la Mto Rufiji
Sasa huoni kabisa kwamba wao wenyewe ndio wamejichanganya tena kwa maneno yao wenyewe??? Bila shaka sasa hiyo EU inapaswa kujulikana kama WEHU!!!Member since 28/10/2020 ww bado mgeni sana
Mwezi wa Saba serikali ilisema Haina Corona
Mwezi wa Tisa wakaimba hela ya kupambana na Corona
Mwezi wa kumi na moja EU wanaulizia hela mliomba ya nn Kati hamna Corona na matumizi yake mlifanyia nn
Nakutuma kawaambie hao mabwana zako tunapokea ushauri lakini maagizo tumeyakataa!Member since 28/10/2020 ww bado mgeni sana
Mwezi wa Saba serikali ilisema Haina Corona
Mwezi wa Tisa wakaimba hela ya kupambana na Corona
Mwezi wa kumi na moja EU wanaulizia hela mliomba ya nn Kati hamna Corona na matumizi yake mlifanyia nn
Acha mataahira wagongane kupeana pass Nani wa kujibu...ujibu Nini sasa issue za kizalendo Kama hizo alizozungumza Kabudi..wanaotakiwa ku comment labda wazungu...Mtanzania u comment Nini...stupiddddd. kwanza utamlinganishaje Proffesa wa sheria na junior mwanasheria ambaye Hana hata Masters ya sheria...lohKatika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter
No. Ni watu kama nyie mnaowasifia na kuwakweza Wazungu mpaka wanajiona kuwa mipaka yao ya utawala imetanuka kuanzia Greenland hadi Cape of Good Hope.Hampo serious nyie praising team, wale jamaa hawashindwi kitu wakiamua, muhimu acheni vitabia vyenu vya kuwatukuza watawala, nyie ndio mnaosababisha wajione wapo sahihi kwenye kila jambo
Wapi EU wametoa tamko kuhusu Tanzania.?
"Umekinitoa mdomoni", kwa lafudhi ya watanzania wenzangu wa Magharibi mwa ziwa Rwelu. Ha ha haaa!Kumbe Lissu ni msemaji wa EU?
Kondoo wa mchungaji lisu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na wewe ni muumini mzuri wa Lissu
Illiterate eti anawadharau wasomi! Si mpaka usome maandishi yao ndio utoe mamtiki ya kuwadharau, sasa ngumbalu utamdharauje msomi?Kuna wakati nikisoma mandiko ya wasomi huwa nawadharau sana sijui kama wanajua thamani ya elimu yao.