Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

Make a distinction, umepewa fedha kwa masharti kuwa utafanya 1,2,3.. ndiyo masharti ya mkopo. Unakataa kufanya kadri ya mkataba, mtu mwenye akili timamu atakuhoji matumizi ya fedha kadri ya mkataba! Hapa siyo ishu ya demokrasia, NO, ishu ya demokrasia ina vipengele vyake, Dunia ilikuwa katika hatari ya kuangamia na corona, wakakupa fedha kuokoa dunia ufanye , 1,2,3. Hukufany... utahojiwa
 

Hutujali habari za Rwanda, Uganda au wapi, tunajali hapa kwetu. Tumeona wizi wa kura na umwagaji damu, na tutashirikiana na yoyote kuhakikisha hatutawaliwi kwa shuruti na yoyote fullstop.
 
Nyumbu msijitoe ufahamu hii fedha ilitolewa na ilivuma kwamba Tanzania imepata fedha ya kupambana na corona na sio mkopo kama ilivyopewa Kenya. Jibu ni rahisi tu zimetumika katika utafiti wa kupambana na corona.
 
Ulitakaje Id ya August 2020? Tunataka Lisu na Zito waongee muelekeo ni upi dhidi ya hii serikali ya wamwaga damu na wezi wa kura. Hatuko tayari kutawaliwa kwa shuruti na ccm ya kijeshi.
ILA KUGALAGAZWA KUNAUMA KWELI NIMEKUBALII. HIVI WATAMALIZA LINI KUWEWESEKA??.
 
Lugola umemchanga na binadamu yule!!!
 
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Huyo ni professor nosense .
 
Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Huyo ni professor nosense .
 
Daah! Dunia inaenda kasi Sana kutoka kubwabwaja Bungeni na majukwaani Hadi zoom!

Ok anyway waachane wajifariji ili wasije jiua kirahisi.
 
Baada ya kubuma la kuwatumia Wahuni wao wale watano wa bunge la EU Sasa ni zamu ya wenye Mabwana.
 
Moto unazidi kuwaka hadi katikati ya bahati πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Baada ya kubuma la kuwatumia Wahuni wao wale watano wa bunge la EU Sasa ni zamu ya wenye Mabwana.
Tulieni mshedede uwaingie maana naona unatuma comments nyinginyingi kama vile umekalia kitu chenye ncha kali
 
Mabeberu wanajua kututega eti : "..pesa za kuendeleza demokrasia wapewe vyama vya upinzani wenyewe badala ya kuipitisha serikalini.." Wenye akili tunawaza akili za Lipumba na Mbowe linapokuja suala la pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…