digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Huyu jamaa hakati tamaa tu ? Hivi huko ubeligiji ana biashara gani huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muelekeo gani tena unataka wauseme? Walisema tuandamane, hatukuandamana unataka waseme nini tena?
Make a distinction, umepewa fedha kwa masharti kuwa utafanya 1,2,3.. ndiyo masharti ya mkopo. Unakataa kufanya kadri ya mkataba, mtu mwenye akili timamu atakuhoji matumizi ya fedha kadri ya mkataba! Hapa siyo ishu ya demokrasia, NO, ishu ya demokrasia ina vipengele vyake, Dunia ilikuwa katika hatari ya kuangamia na corona, wakakupa fedha kuokoa dunia ufanye , 1,2,3. Hukufany... utahojiwaNikupe mkopo/msaada halafu nikupangie matumizi? Kwamba umeniona mimi sina uwezo wa kupanga matumizi ya fedha? Kenya wamepewa pesa zimepigwa na wanasiasa mbona hawahoji? Kwa nini wahoji Tanzania? Rwanda hali ya kidemocrasia iko very worse kuliko Tanzania. Hawa jamaa hawajawahi kuhoji kinachoendelea Rwanda. Hata Uganda democracy ni very poor. Je hawa jamaa wanatupenda sana watanzania? Kuweni macho.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Nikupe mkopo/msaada halafu nikupangie matumizi? Kwamba umeniona mimi sina uwezo wa kupanga matumizi ya fedha? Kenya wamepewa pesa zimepigwa na wanasiasa mbona hawahoji? Kwa nini wahoji Tanzania? Rwanda hali ya kidemocrasia iko very worse kuliko Tanzania. Hawa jamaa hawajawahi kuhoji kinachoendelea Rwanda. Hata Uganda democracy ni very poor. Je hawa jamaa wanatupenda sana watanzania? Kuweni macho.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Nyumbu msijitoe ufahamu hii fedha ilitolewa na ilivuma kwamba Tanzania imepata fedha ya kupambana na corona na sio mkopo kama ilivyopewa Kenya. Jibu ni rahisi tu zimetumika katika utafiti wa kupambana na corona.Make a distinction, umepewa fedha kwa masharti kuwa utafanya 1,2,3.. ndiyo masharti ya mkopo. Unakataa kufanya kadri ya mkataba, mtu mwenye akili timamu atakuhoji matumizi ya fedha kadri ya mkataba! Hapa siyo ishu ya demokrasia, NO, ishu ya demokrasia ina vipengele vyake, Dunia ilikuwa katika hatari ya kuangamia na corona, wakakupa fedha kuokoa dunia ufanye , 1,2,3. Hukufany... utahojiwa
ILA KUGALAGAZWA KUNAUMA KWELI NIMEKUBALII. HIVI WATAMALIZA LINI KUWEWESEKA??.Ulitakaje Id ya August 2020? Tunataka Lisu na Zito waongee muelekeo ni upi dhidi ya hii serikali ya wamwaga damu na wezi wa kura. Hatuko tayari kutawaliwa kwa shuruti na ccm ya kijeshi.
ILA KUGALAGAZWA KUNAUMA KWELI NIMEKUBALII. HIVI WATAMALIZA LINI KUWEWESEKA??.
Lugola umemchanga na binadamu yule!!!Hivi.....
Zitto yupo wpi..??
Mbowe yupo wapi..??
Professor wapi....??
Sugu wapi....??
Nyalandu wapi..??
Kangi Lugola wapi..??
Paul Makonda kimya.....
Wakuu, nimejikuta nauliza tu maana tangu wengine wakimbilie uhamishoni, hawa waliobaki wamekua kimya utadhani hakuna kilicho tokea..
Huyo ni professor nosense .Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Huyo ni professor nosense .Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Tulieni mshedede uwaingie maana naona unatuma comments nyinginyingi kama vile umekalia kitu chenye ncha kaliBaada ya kubuma la kuwatumia Wahuni wao wale watano wa bunge la EU Sasa ni zamu ya wenye Mabwana.
Uchaguzi umekwishaaaaaaa!!!Mapambano yanaendelea.