KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Hakuna mtu aliyeenda kuomba pesa ziletwe ila zililetwa na mashirika ya UN. Na pesa hizo zilikuwa za kupambana na athari za Corona siyo kutibu Corona kwa sababu Corona haina tiba. Nenda uwaambie mabwana zako ujumbe huuTena wafadhili baada ya kuuliza matumizi ya pesa zao wameitwa “hooligans who sit in a Eurpean Parliament “.
Matusi ya nini? Juepushe na matusi. Nyumbu mama yako, full stop
Yaani serikali ya CCM sioni haya kuwaita "Masikini Jeuri"Tena wafadhili baada ya kuuliza matumizi ya pesa zao wameitwa “hooligans who sit in a Eurpean Parliament “.
Kama mngekua wanaume kweli mngezirudisha kwakua mlikua na mbinu yenu ya kupambana na corona.Hakuna mtu aliyeenda kuomba pesa ziletwe ila zililetwa na mashirika ya UN. Na pesa hizo zilikuwa za kupambana na athari za Corona siyo kutibu Corona kwa sababu Corona haina tiba. Nenda uwaambie mabwana zako ujumbe huu
Vijana walio anza kuandamana Zanzibar na Pemba wote sasa ni marehemu.Ingawa ni haki ya kikatiba kuandamana kwa amani, lakini kwa namna Jeshi la Polisi la Sisiem lilivyopiga mkwara, inawezekana kweli watanzania wajitokeze kuandamana?
Unajua kuwa hii serikali ya awamu ya 5 haijali kuwa damu za watanzania wangapi zingemwagika, ili mradi tu watekeleze azma yao ya kututawala kwa nguvu milele na milele!
Usitutengenezee majibu ya hovyo. Pumba.avu kabisa!Nyumbu msijitoe ufahamu hii fedha ilitolewa na ilivuma kwamba Tanzania imepata fedha ya kupambana na corona na sio mkopo kama ilivyopewa Kenya. Jibu ni rahisi tu zimetumika katika utafiti wa kupambana na corona.
Kwenye suara la kabudi nadhani mnakosea kuwaamini wahuni hao, kama wangeataka kujua pesa zimetumikaje wangekuja kuuliza sehemu walikopeleka hizo pesa,Naamini watatoa a well reasoned, articulated response, waepuke kutoa kauli kama za Kabudi, mtu anakwambia fedha zangu umezitumiaje wakati uansema huna ugonjwa, wewe unaleta kejeli eti sisi ni nchi huru!
Mwambie Tundu Lisu aje awatetee, yeye si ni nguli wa sheria na pia aliwashawishi pia wawe wakuda.Vijana walio anza kuandamana Zanzibar na Pemba wote sasa ni marehemu.
Kama watanzania wa nchi inayoburuzwa kuelekea kwenye udikteta na dimbwi la damu. Watatoa kauli kupinga ule utumbo wa "macho kumchuzi" aliyeulizwa uwajibikaji wa euro 27m anajibu kishamba "sisi ni nchi huru-- hatujawahi kushindwa vita" UDsm chukueni shahada zenu hapo kwa mgogo akaombe ombe majalalaniWanazungumza kama akina nani?!
wewe hujui kitu, hujui kitu.... soma "pleadings" na "evidence" vizuri ndio ujibu.... Nikusaidie kiduchu: Issue ni kuwa unasema hakuna corona nchini kwangu, imesha kwa maombi......, sasa kigezo gani kilitumka kumpa hela? anzia hapoKwenye suara la kabudi nadhani mnakosea kuwaamini wahuni hao, kama wangeataka kujua pesa zimetumikaje wangekuja kuuliza sehemu walikopeleka hizo pesa,
Sasa huko wanaulizana wenyewe wakati waliyempa hayupo pale, pia hawajazifanyia ukaguzi.
Huo ni ujinga zaidi.
Unampa mtu pesa kabla hujamuuliza katumiaje unaanza kulalamika bila kumuuliza wala kumkagua, mimi nilidhani wangekuja kutaka majibu baada ya kuona pesa hazipo na wamefanya ukaguzi bila kupata majibu.
Kuanza kuhoji matumizi bila ukaguzi ni ujinga.
Na ukitaka kujua hao ni wahuni na tabia zao ni kama za akina mbowe, wakati kamati zinapitisha tanzania kupewa hizo pesa wao walikuwa wapi na wakashindwa kuhoji kabla hazijatolewa, waje kuuliza zilitolewaje wakati walitakiwa kuzijadili?
Ndio maana kabudi kawaita wahuni kwa kuwa wanatumika na shoga Amsterdam.
Wakati wa corona pesa ilitumiaka ya sehemu zingine hivyo hiyo ilirudi kwenye yele mahitaji.wewe hujui kitu, hujui kitu.... soma "pleadings" na "evidence" vizuri ndio ujibu.... Nikusaidie kiduchu: Issue ni kuwa unasema hakuna corona nchini kwangu, imesha kwa maombi......, sasa kigezo gani kilitumka kumpa hela? anzia hapo
Nhhhhhhh! Enhee mmejipanga kwa lipi tena.Kuandamana ni njia moja, ila njia ziko nyingi. Wananchi bado ni waoga kwa njia hiyo, ila huko tutafika tu. Hata Nyerere hakupata uhuru wa nchi hii kwa vita bali alitumia njia mbadala.
Wewe kuchi-kuchi hotae hujambo?Kumekucha !
Daah! Dunia inaenda kasi Sana kutoka kubwabwaja Bungeni na majukwaani Hadi zoom!
Tulia uone motoNhhhhhhh! Enhee mmejipanga kwa lipi tena.