Kwenye suara la kabudi nadhani mnakosea kuwaamini wahuni hao, kama wangeataka kujua pesa zimetumikaje wangekuja kuuliza sehemu walikopeleka hizo pesa,
Sasa huko wanaulizana wenyewe wakati waliyempa hayupo pale, pia hawajazifanyia ukaguzi.
Huo ni ujinga zaidi.
Unampa mtu pesa kabla hujamuuliza katumiaje unaanza kulalamika bila kumuuliza wala kumkagua, mimi nilidhani wangekuja kutaka majibu baada ya kuona pesa hazipo na wamefanya ukaguzi bila kupata majibu.
Kuanza kuhoji matumizi bila ukaguzi ni ujinga.
Na ukitaka kujua hao ni wahuni na tabia zao ni kama za akina mbowe, wakati kamati zinapitisha tanzania kupewa hizo pesa wao walikuwa wapi na wakashindwa kuhoji kabla hazijatolewa, waje kuuliza zilitolewaje wakati walitakiwa kuzijadili?
Ndio maana kabudi kawaita wahuni kwa kuwa wanatumika na shoga Amsterdam.