We jamaa miyeyusho sanaKwa comment hii unajionyesha ni kiasi gani una roho ya kwanini!
Ili kuonesha ujirani mwema Chadema tukishika dola tutaitoa Ikulu Chamwino na kuipeleka Nairobi.Mijitu ina roho mbaya
Sikiliza wewe jinga! Maana ya kuwepo kwa kura ni unapiga kura kwa mtu unaemtaka! Siyo tu unampigia kura mtu kisa ndugu hata kama ni mbovu.Muwache roho mbaya za kwanini wao, dunia inawashangaa sana kwa hiyo roho mbaya
Huu sasa utakuwa ni zaidi ya ujirani mwema hahahah!Ili kuonesha ujirani mwema Chadema tukishika dola tutaitoa Ikulu Chamwino na kuipeleka Nairobi.
Na kura ni utashi wetu kwani ni lazima tuwapigie kura?Nyie mlisha sema kuwa hamna maabara sahihi ya kupimia huo ugonjwa, sasa jirani yenu atawezaje kuamini vipimo vyenu?
Sikiliza wewe jinga! Maana ya kuwepo kwa kura ni unapiga kura kwa mtu unaemtaka! Siyo tu unampigia kura mtu kisa ndugu hata kama ni mbovu.
Ndio maana Zitto kwenye chama chake ukiangalia top 20 ya viongozi wote majina yao yote ni ndugu katika imani, kumbe ni kwasababu hiyo anajali nyumbambani.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Zitto amewapokonya makamanda kila kitu. Mmebaki kumgwaya na kumsujudu sasa, duh.Aibu sana hii!!
Na kura ni utashi wetu kwani ni lazima tuwapigie kura?
Zitto amewapokonya makamanda kila kitu. Mmebaki kumgwaya na kumsujudu sasa, duh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee kumbe wewe ni jinga! Dunia itushangae kupiga kura?Huna jinsi ya kujisafisha kubali kuwa mmelikoroga na dunia inawashangaa sana kwa roho mbaya zenu
Ili kuonesha ujirani mwema Chadema tukishika dola tutaitoa Ikulu Chamwino na kuipeleka Nairobi.
Kesho asubuhi nakupitia twende bandarini tukaligomboe lile bus la Lisu alilopewa zawadi huko ubelgiji.Twende na Membe wana ccm wenzetu maana ndiyo chaguo letu
Unahangaika hadi utataga leo, hapa Membe kule Kenya lazima utageAngalia hapo kosovo imeandikwa mara mbili je kuna nchi mbili za kosovo umoja wa mataifa?
Zitto ni fake politician who uses fake data.Angalia hapo Kosovo imeandikwa mara mbili
Aibu kwa mwanasiasa kama Zitto kutopitia ripoti ndogo kama hii kujua kuwa iko sahihi au la.Akipewa mikabrasha ya mikataba si ndio atachemka!! ona na michadema inavyounga mkono humu .Kitu cha nusu ukurasa wanashindwa kusoma kuona kiko wrong!!!! Haya oneni hapo Kosovo imeandikwa mara mbili wanasiasa uchwara ninyi ambao hamko serious
View attachment 1485170
A feeble excuse.
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa https://t.co/8qeMXUL4sView attachment 1485147
Zitto mnafiki hana jipya , karudisha sana nyuma harakati za ukombozi, kazi yake kumlamba Halima Bulembo
MK254 hebu leta ufafanuzi, kuna hili bumunda la Lumumba linaleta uzushi hapaAngalia hapo kosovo imeandikwa mara mbili je kuna nchi mbili za kosovo umoja wa mataifa?
Zitto ni fake politician who uses fake data.Angalia hapo Kosovo imeandikwa mara mbili
Aibu kwa mwanasiasa kama Zitto kutopitia ripoti ndogo kama hii kujua kuwa iko sahihi au la.Akipewa mikabrasha ya mikataba si ndio atachemka!! ona na michadema inavyounga mkono humu .Kitu cha nusu ukurasa wanashindwa kusoma kuona kiko wrong!!!! Haya oneni hapo Kosovo imeandikwa mara mbili wanasiasa uchwara ninyi ambao hamko serious
View attachment 1485170
Sio roho mbaya tu, he is a devil. Halafu mtalisikia likiwapongeza Kenya kwa ushindi