Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Muwache roho mbaya za kwanini wao, dunia inawashangaa sana kwa hiyo roho mbaya
Sikiliza wewe jinga! Maana ya kuwepo kwa kura ni unapiga kura kwa mtu unaemtaka! Siyo tu unampigia kura mtu kisa ndugu hata kama ni mbovu.

Ndio maana Zitto kwenye chama chake ukiangalia top 20 ya viongozi wote majina yao yote ni ndugu katika imani, kumbe ni kwasababu hiyo anajali nyumbambani.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Angalia hapo kosovo imeandikwa mara mbili je kuna nchi mbili za kosovo umoja wa mataifa?

Zitto ni fake politician who uses fake data.Angalia hapo Kosovo imeandikwa mara mbili

Aibu kwa mwanasiasa kama Zitto kutopitia ripoti ndogo kama hii kujua kuwa iko sahihi au la.Akipewa mikabrasha ya mikataba si ndio atachemka!! ona na michadema inavyounga mkono humu .Kitu cha nusu ukurasa wanashindwa kusoma kuona kiko wrong!!!! Haya oneni hapo Kosovo imeandikwa mara mbili wanasiasa uchwara ninyi ambao hamko serious

1592681864456.png
 
Walidhani ni zile kura za katiba pendekezwa za kuwapigisha kura waliotangulia mbele ya haki
 
Nyie mlisha sema kuwa hamna maabara sahihi ya kupimia huo ugonjwa, sasa jirani yenu atawezaje kuamini vipimo vyenu?
Na kura ni utashi wetu kwani ni lazima tuwapigie kura?
 
Huna jinsi ya kujisafisha kubali kuwa mmelikoroga na dunia inawashangaa sana kwa roho mbaya zenu
Sikiliza wewe jinga! Maana ya kuwepo kwa kura ni unapiga kura kwa mtu unaemtaka! Siyo tu unampigia kura mtu kisa ndugu hata kama ni mbovu.

Ndio maana Zitto kwenye chama chake ukiangalia top 20 ya viongozi wote majina yao yote ni ndugu katika imani, kumbe ni kwasababu hiyo anajali nyumbambani.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Twende na Membe 2020 atuvushe wana ccm wenzetu maana ndiyo chaguo letu wana ccm
Ili kuonesha ujirani mwema Chadema tukishika dola tutaitoa Ikulu Chamwino na kuipeleka Nairobi.
 
Angalia hapo kosovo imeandikwa mara mbili je kuna nchi mbili za kosovo umoja wa mataifa?

Zitto ni fake politician who uses fake data.Angalia hapo Kosovo imeandikwa mara mbili

Aibu kwa mwanasiasa kama Zitto kutopitia ripoti ndogo kama hii kujua kuwa iko sahihi au la.Akipewa mikabrasha ya mikataba si ndio atachemka!! ona na michadema inavyounga mkono humu .Kitu cha nusu ukurasa wanashindwa kusoma kuona kiko wrong!!!! Haya oneni hapo Kosovo imeandikwa mara mbili wanasiasa uchwara ninyi ambao hamko serious

View attachment 1485170
Unahangaika hadi utataga leo, hapa Membe kule Kenya lazima utage
 
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa https://t.co/8qeMXUL4sView attachment 1485147

Hivi kumbe UNSC huwa hawapigi kura kwa siri? Mbona nasikia hii doc ni fake? Mm! Ila kama ni kweli basi tumekuwa kigeugeu kweli kweli maana Nov 27, 2019 JPM alimtuma Kabudi kuihakikishia kenya kura ya Tanzania.
 
Angalia hapo kosovo imeandikwa mara mbili je kuna nchi mbili za kosovo umoja wa mataifa?

Zitto ni fake politician who uses fake data.Angalia hapo Kosovo imeandikwa mara mbili

Aibu kwa mwanasiasa kama Zitto kutopitia ripoti ndogo kama hii kujua kuwa iko sahihi au la.Akipewa mikabrasha ya mikataba si ndio atachemka!! ona na michadema inavyounga mkono humu .Kitu cha nusu ukurasa wanashindwa kusoma kuona kiko wrong!!!! Haya oneni hapo Kosovo imeandikwa mara mbili wanasiasa uchwara ninyi ambao hamko serious

View attachment 1485170
MK254 hebu leta ufafanuzi, kuna hili bumunda la Lumumba linaleta uzushi hapa
 
Back
Top Bottom