Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kwanza nguvu ya ccm iko tanzania bara na siyo Zanzibar.Hapana upande wa Zanzibar ACT wapo vzr kuliko chadema
Kha! Tulia wewe, kidogo tu.Sitaki
Chadema OyeeeeeeeeeeKha! Tulia wewe, kidogo tu.
Akaing'oe yeye sasa anazani 2015 upinzani ulikuwa sehemu nzuri sana kuliko wakati wowote.Wakijiunga wote na akina Dovutwa wakipata kura nyingi ni milioni moja na nusu, sasa hizo zinaweza kuwaweka madalakani?
Ifafanue hiyo nguvu waliyonayo nieleweACT ana nguvu kwasasa bila kujali ya nyuma .lengo la chama chochote ni kushika dola tusitizame kwa mrengo wa ACT kuwa na nguvu Bali kumuua nyoka ccm.
Wabunge wote wa cuf na madiwanj wamehamia ACTIfafanue hiyo nguvu waliyonayo nielewe