Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Hapana upande wa Zanzibar ACT wapo vzr kuliko chadema
Kwanza nguvu ya ccm iko tanzania bara na siyo Zanzibar.

Kura za Zanzibar hata ukishinda zote hazina uwezo wa kukufanya uongoze Tanzania bara.

Hivyo kimkakati Zanzibar kisiasa siyo sehemu potential kwenye suala la wabunge wa Jamhuri ya Muungano na kuchukua urais wa Jamhuri.

Chama Chenye nguvu Zanzibar kinaweza kuzidiwa nguvu na chama Chenye ushawishi katika mikoa miwili tu ya tanzania bara.

ACT haina uwezo wa kuwa na influence kwenye kuchagua mgombea urais kwa Jamhuri hata kama wakiungana ACT anatakiwa kupewa walau viti viwili tu vya ubunge kwa tanzania bara.
 
Nimesema msichague SHIKAMOO huko Zanzibar 😁😁😁😁👴
 
Wakijiunga wote na akina Dovutwa wakipata kura nyingi ni milioni moja na nusu, sasa hizo zinaweza kuwaweka madalakani?
Akaing'oe yeye sasa anazani 2015 upinzani ulikuwa sehemu nzuri sana kuliko wakati wowote.
 
ACT ana nguvu kwasasa bila kujali ya nyuma .lengo la chama chochote ni kushika dola tusitizame kwa mrengo wa ACT kuwa na nguvu Bali kumuua nyoka ccm.
Ifafanue hiyo nguvu waliyonayo nielewe
 
Kuungana sawa ila Membe kuwa mgombea wa uraisi BIG NO
 
Back
Top Bottom