Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kwa Tume ipi ya Uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DJ atakubali? Atataka hao wagombea wote wawe wa chama chake. Waulizwe UKAWA walichofanywa na CDM hawatakaa wasahau.uko sahihi
Yes mazungumzo muhimu lazima kusimamisha mgombea mmoja wa ubunge/udiwani katika majimbo!!Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Wakijiunga wote na akina Dovutwa wakipata kura nyingi ni milioni moja na nusu, sasa hizo zinaweza kuwaweka madalakani?Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Wazo zuri?CCM INANUKA UBAGUZITayari ni wazi vyama vingine vidogovidogo kama NCCR mageuzi,TLP , CUF na wengine washanasa kwenye mtego wa Mamba (CCM) . Tegemeo letu kwasasa watanzania ni chadema na ACT wazalendo.kwasababu mmeonesha msimamo wa kutolamba miguu ya MaCCM. Tuko nyuma yenu unganeni mumsimamishe mgombea mmoja Tutashinda nina uhakika.Wana ccm wengi wanasubiri mbadala wamechoshwa na ubabe wa Rais Rais magufuli.
Kila la heri Chadema na ACT wazalendo.
SanaWazo zuri?CCM INANUKA UBAGUZI
Siyo mbaya hata ccm wamepokea wapinzani wengi tuu na wamepewa nafasi za uongozi.Membe 2020 December anarud nyumbani. .
Acheni kuwaimbisha watu iyena iyena...
Usiseme vimenaswa kwenye mtego wa Mamba. Ivyo sio vyama vya upinzani kama unavyoaminishwa. Ni vyama vilivyoundwa kimkakakti na CCM kuonesha wazungu na wafadhili kuwa Tanzania kuna upinzani kumbe ni danganya toto.Tayari ni wazi vyama vingine vidogovidogo kama NCCR mageuzi,TLP , CUF na wengine washanasa kwenye mtego wa Mamba (CCM) . Tegemeo letu kwasasa watanzania ni chadema na ACT wazalendo.kwasababu mmeonesha msimamo wa kutolamba miguu ya MaCCM. Tuko nyuma yenu unganeni mumsimamishe mgombea mmoja Tutashinda nina uhakika.Wana ccm wengi wanasubiri mbadala wamechoshwa na ubabe wa Rais Rais magufuli.
Kila la heri Chadema na ACT wazalendo.