Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Siasa maji taka zimeanza, zito ni kiungo aliewekwa kwa kazi moja tuu kudhoofisha upinzan, sasa ingien kichwa kichwa muone.
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Yes mazungumzo muhimu lazima kusimamisha mgombea mmoja wa ubunge/udiwani katika majimbo!!
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Wakijiunga wote na akina Dovutwa wakipata kura nyingi ni milioni moja na nusu, sasa hizo zinaweza kuwaweka madalakani?
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.

CCM inang’oka? Kwa “vikaratasi”? Well, acha porojo ziendelee.
 
Nimenusa kuna kitu between Karume family and CCM ya magufuli. Sikumuona Karume wala mama karume kwenye mkutano mkuu juzi. Iam very sure kama Act wakitumia nafasi yao vizuri Zanzibar wanachukua.
Kikubwa Makubaliano yawe hivi

ACT na CHADEMA waungane.
Kwa Zanzibar- Mgombea Uraisi awe Maalim Seif wa ACT na aungwe mkono na CHADEMA

Kwa Tanzania- Mgombea Uraisi awe Tundu Antipas Lissu na aungwe mkono na ACT.

Fatma Karume awe mgombea mwenza wa Tanzania Bara.

Bernad Kamilius Membe apewe commitment ikiwezekana ya Maandishi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nakubaliana na Zitto. Ukweli ni kwamba hakuna mwaka ambao ni rahisi kuitoa CCM madarakani kama mwaka huu.
 
Tayari ni wazi vyama vingine vidogovidogo kama NCCR mageuzi,TLP , CUF na wengine washanasa kwenye mtego wa Mamba (CCM) . Tegemeo letu kwasasa watanzania ni chadema na ACT wazalendo.kwasababu mmeonesha msimamo wa kutolamba miguu ya MaCCM. Tuko nyuma yenu unganeni mumsimamishe mgombea mmoja Tutashinda nina uhakika.Wana ccm wengi wanasubiri mbadala wamechoshwa na ubabe wa Rais Rais magufuli.

Kila la heri Chadema na ACT wazalendo.
 
Wazo zuri?CCM INANUKA UBAGUZI
 
Kwa hisia hizi za ubinafsi, wapinzani mmeshafeli hata kabla ya hata mpambano kuanza. Wapo watu wengi makini hapa nchini wasiokuwa na mifungamano ya kiitikadi, bali wenye kutaka Tanzania iliyokuwa bora zaidi ya ilivyokuwa sasa.

Badala ya matumaini haya yajengwe kupitia kwa mashauriano na ridhaa ya vyama hivi vya upinzani, na tena kwa kushiriki kupitia kumiliki kwa pamoja mchakato husika, inaonekana dhahiri kuwa vyama hivi vinaviziana na haviaminiani, tena vinyesha tamaa ya wazi ya kuwa na "total ownership" ktk kukiondoa chama tawala madarakani "at the expense of being better off while their coleagues are worse off"

Hakuna mtu makini ambaye atawaunga mkono nje ya kutaka kuwa na "synergy" ya kimkakati. Ni heri kubaki na shetani umjuaye kuliko kujaribu kuishi na malaika usiyemjua sifa zake. Tupo wengi ambao ni "undecided" lkn hatutasita kujaribu kufanya bahati nasibu ktk masuala mapana ya kitaifa.

Team - CCM tumeshaiona, bado nyinyi wapinzani mje na timu kamilifu ili Watanzania wenye nia njema tukapate kufanya maamuzi sahihi.
 
Msimamo alioutoa Membe awali unajulikana,unganeni agombee!!

Means,bara na visiwani urais itakuwa ACT.
 
Tayari ni wazi vyama vingine vidogovidogo kama NCCR mageuzi,TLP , CUF na wengine washanasa kwenye mtego wa Mamba (CCM) . Tegemeo letu kwasasa watanzania ni chadema na ACT wazalendo.kwasababu mmeonesha msimamo wa kutolamba miguu ya MaCCM. Tuko nyuma yenu unganeni mumsimamishe mgombea mmoja Tutashinda nina uhakika.Wana ccm wengi wanasubiri mbadala wamechoshwa na ubabe wa Rais Rais magufuli.

Kila la heri Chadema na ACT wazalendo.
Usiseme vimenaswa kwenye mtego wa Mamba. Ivyo sio vyama vya upinzani kama unavyoaminishwa. Ni vyama vilivyoundwa kimkakakti na CCM kuonesha wazungu na wafadhili kuwa Tanzania kuna upinzani kumbe ni danganya toto.

Hata Mobutu seseko alikuwaga na vyama Kama hivi karibia 2000 ila siku ya mwisho hakufika popote na ubabe wake.
 
Bado sijaona nyenzo ya kuitoa ccn madarakani mpaka sasa. ukizingatia Magufuli kama Rais keshachoma moto vichaka vyote vya sera za wapinzani za kuombea kura kwenye majukwaa.
 
Back
Top Bottom