Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.

Maweee.......eti CCM inang'okeka....
ZZK anaendeleza porojo zake KONGWE.......

Lengo lake si URAIS.....
Lengo lao si URAIS......

Hawana lengo la kupata urais BARA.....

LENGO LILILO KUU ni kujaribu Tena ile bahati ya CDM baada ya Lowassa kwenda kuwaongezea IDADI YA WABUNGE kupitia idadi ya kura alizopata mgombea wa UKAWA.

Chambilecho ZITTO KABWE "kwa vyovyote vile kwa MAZINGIRA yoyote Yale" anatahadharisha ile HOFU KUU ALIYONAYO.....

HOFU GANI?

ZZK anajua ya kwamba mgombea wao mh.Membe ni GALASA...........

Mh.Membe hana hata SUDUSI ya kaliba aliyokuwa nayo mh.Lowassa kipindi KILE cha "MAFURIKO KOKO na "ULIPO TUPO".

ZZK anajua kuwa pamoja na CV za mh.Membe na KUJIMWAMBAFAI kuwa YEYE NI Vladimir Putin wa TZ na kiungo MNOGESHAJI Uchaguzi,bado hana PLATFORM kubwa ya KISIASA....

Mh.BCM hakuwahi kuwa na platform kubwa ya KISIASA ndani ya CCM sembuse nje yake?!!!

Mh.BCM alijizolea umaarufu wa KISIASA kwa sababu ALIKUWA anatembelea NYOTA YA JAHA ya mh.Kikwete,kwa hiyo basi si CANDIDATE atakayemsumbua mh.Magufuli kwa wananchi hasa Kura za walalahoi wa nchi hii......

Mh.Magufuli atabaki na kumbukumbu isiyofutika,kuwa ni Mh.Lowassa pekee aliyewahi kumsumbua kutoka upinzani,na katika hili simuoni mh.Tundu Lissu Wala mh.Membe akiuvunja Mwiko huo.

Muuza Al Kasus
Tandale
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
CCM si jino ndg
 
"Took nyoka yenu" brought me here😂😂
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.

Ni Ushauri mzuri sana unapaswa kufanyiwa kazi.... Ila Membe asipewe nafasi ya kuwa mgombea Urais wa upinzani
 
Nimenusa kuna kitu between Karume family and CCM ya magufuli. Sikumuona Karume wala mama karume kwenye mkutano mkuu juzi. Iam very sure kama Act wakitumia nafasi yao vizuri Zanzibar wanachukua.
Kikubwa Makubaliano yawe hivi

ACT na CHADEMA waungane.
Kwa Zanzibar- Mgombea Uraisi awe Maalim Seif wa ACT na aungwe mkono na CHADEMA

Kwa Tanzania- Mgombea Uraisi awe Tundu Antipas Lissu na aungwe mkono na ACT.

Fatma Karume awe mgombea mwenza wa Tanzania Bara.

Bernad Kamilius Membe apewe commitment ikiwezekana ya Maandishi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nakubaliana na Zitto. Ukweli ni kwamba hakuna mwaka ambao ni rahisi kuitoa CCM madarakani kama mwaka huu.
Membe angetaka uwaziri angeshindwa kuupata ccm? Just think. Nafikiri Hakuna nafasi nyingine anayoitaka kachero zaidi ya nafasi ya kugombea uraisi kupitia upinzani. Hiyo ndo kazi yake.
 
Kati ya watu wasiyo na imani na Membe kuja upinzani mimi ni mmoja wapo.
Na bado ana declare kuwa yeye ni mwanakitengo ivo yupo kazini mpaka kifo sasa boss wa kitengo si ni incumbent Presidaa sasa upinzani walivo blind utashangaa ana vie for presidency
 
Ila mgombea awe lissu na sio Membe

Back
Top Bottom