Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
CCM mwenyekiti anatuburuza tumechoka.Bado sijaona nyenzo ya kuitoa ccn madarakani mpaka sasa. ukizingatia Magufuli kama Rais keshachoma moto vichaka vyote vya sera za wapinzani za kuombea kura kwenye majukwaa.
Hawezi mzidi Mbowe K-Vant.CCM mwenyekiti anatuburuza tumechoka.
CCM si jino ndgKwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Hapo ndo ugumu wa muungano wa ACT na Chadema utakuwepoMsimamo alioutoa Membe awali unajulikana,unganeni agombee!!
Means,bara na visiwani urais itakuwa ACT.
Sio tumechoka bali jisemee peke yako. Mbona mimi sijachoka?CCM mwenyekiti anatuburuza tumechoka.
Tuambie huo Ubinafsi wake.
Na huyo mgombea mmoja lazima atoke ACT-Wazalendo I guess, as per Zitto’s point of view
Lakini pia huyo mgombea awe pandikizi ili 2024 arejee nyumbani baada ya kumaliza mission
Naunga mkono hoja ila Mgombea hasiwe kapi kama ilivyo membe
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Membe angetaka uwaziri angeshindwa kuupata ccm? Just think. Nafikiri Hakuna nafasi nyingine anayoitaka kachero zaidi ya nafasi ya kugombea uraisi kupitia upinzani. Hiyo ndo kazi yake.Nimenusa kuna kitu between Karume family and CCM ya magufuli. Sikumuona Karume wala mama karume kwenye mkutano mkuu juzi. Iam very sure kama Act wakitumia nafasi yao vizuri Zanzibar wanachukua.
Kikubwa Makubaliano yawe hivi
ACT na CHADEMA waungane.
Kwa Zanzibar- Mgombea Uraisi awe Maalim Seif wa ACT na aungwe mkono na CHADEMA
Kwa Tanzania- Mgombea Uraisi awe Tundu Antipas Lissu na aungwe mkono na ACT.
Fatma Karume awe mgombea mwenza wa Tanzania Bara.
Bernad Kamilius Membe apewe commitment ikiwezekana ya Maandishi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nakubaliana na Zitto. Ukweli ni kwamba hakuna mwaka ambao ni rahisi kuitoa CCM madarakani kama mwaka huu.
Na bado ana declare kuwa yeye ni mwanakitengo ivo yupo kazini mpaka kifo sasa boss wa kitengo si ni incumbent Presidaa sasa upinzani walivo blind utashangaa ana vie for presidencyKati ya watu wasiyo na imani na Membe kuja upinzani mimi ni mmoja wapo.