Kama zenji ni ACt bara iwe chama gani hebu afafanue
Itategemea ni chama na mgombea gani anakubalika zaidi upande huo. So far, hatumfahamu mgombea wa chadema wala wa act. Wakati ukifika tutawapima kupata majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama zenji ni ACt bara iwe chama gani hebu afafanue
Tayari ni wazi vyama vingine vidogovidogo kama NCCR mageuzi,TLP , CUF na wengine washanasa kwenye mtego wa Mamba (CCM) . Tegemeo letu kwasasa watanzania ni chadema na ACT wazalendo.kwasababu mmeonesha msimamo wa kutolamba miguu ya MaCCM. Tuko nyuma yenu unganeni mumsimamishe mgombea mmoja Tutashinda nina uhakika.Wana ccm wengi wanasubiri mbadala wamechoshwa na ubabe wa Rais Rais magufuli.
Kila la heri Chadema na ACT wazalendo.
Wazo zuri?CCM INANUKA UBAGUZI
Bado hajafika hiyo level. Anachonyatia ni nguvi ya chadema imwongezee wabungeNa huyo mgombea mmoja lazima atoke ACT-Wazalendo I guess, as per Zitto’s point of view
Ni njia pekee ya kuitoa ccm vinginevyo ni kazi bureKwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Vyovyote ila siyo vile chama vya upinzani vinavyoiunga mkono ccm.Na huyo mgombea mmoja lazima atoke ACT-Wazalendo I guess, as per Zitto’s point of view
Kwani unaumia ACT akiwa kinara?Zito mjanja sana baada ya kufanikiwa kumvuta Maalim na Membe sasa anataka awavute cdm a.k.a utopolo na wengine ili mwisho wa siku act iwekinara.
Pale gamba la ccm linapotaka kutukatisha tamaa wapinzani. KalaghabahooSiasa maji taka zimeanza, zito ni kiungo aliewekwa kwa kazi moja tuu kudhoofisha upinzan, sasa ingien kichwa kichwa muone.
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Wewe siupo jikoni unakula utachokaje?Sio tumechoka bali jisemee peke yako. Mbona mimi sijachoka?
Endelea kupiga miayo.Wewe siupo jikoni unakula utachokaje?
ACT ana nguvu kwasasa bila kujali ya nyuma .lengo la chama chochote ni kushika dola tusitizame kwa mrengo wa ACT kuwa na nguvu Bali kumuua nyoka ccm.Kuungana ni Jambo jema Tena sana kwa upinzani. Lkn tujiulize wakati Wendie wanaungana kwa wingi wao 2015 na kuunda ukawa yeye alikua wapi? Si alikua anawananga? Sasa hivi kwanini anatumia nguvu kubwa hivi? Tunq akili bado, huyu bwana bado anatumika, Tena vzr tu. Hesabu zake ni kukipa nguvu chama chake pandikizi wakati huo cdm inaachwa solemba baada ya uchaguzi...Cdm simamisheni lisu na wagombea wenu inatosha, maana mna nguvu kubwa kuliko ccm na vipandikizi vyake.Hesabu za zito no hovyo.
Nimeshazoea.Endelea kupiga miayo.
Sawa.Nimeshazoea.
Kwahiyo mkuu nchi tuikabidhi mikononi mwa Lisu & Fatma?Nimenusa kuna kitu between Karume family and CCM ya magufuli. Sikumuona Karume wala mama karume kwenye mkutano mkuu juzi. Iam very sure kama Act wakitumia nafasi yao vizuri Zanzibar wanachukua.
Kikubwa Makubaliano yawe hivi
ACT na CHADEMA waungane.
Kwa Zanzibar- Mgombea Uraisi awe Maalim Seif wa ACT na aungwe mkono na CHADEMA
Kwa Tanzania- Mgombea Uraisi awe Tundu Antipas Lissu na aungwe mkono na ACT.
Fatma Karume awe mgombea mwenza wa Tanzania Bara.
Bernad Kamilius Membe apewe commitment ikiwezekana ya Maandishi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nakubaliana na Zitto. Ukweli ni kwamba hakuna mwaka ambao ni rahisi kuitoa CCM madarakani kama mwaka huu.
Kote ACT, hiyo CHADEMA tangu 1995 imo, 2000 imo, 2005 imo, 2010 imo, 2015 imooo. Heeee bado 2020 inataka iwemooo?Kama zenji ni ACt bara iwe chama gani hebu afafanue