Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Uchaguzi 2020 Zitto: Ni muhimu na ni lazima vyama makini vya upinzani kuweka Mgombea mmoja katika ngazi zote Bara na visiwani

Kabisa CDM na ACT tafadhali fanyeni mambo tuwe na nguvu zaidi ya kuwashinda jeshi la polisi la ccm.
Tayari ni wazi vyama vingine vidogovidogo kama NCCR mageuzi,TLP , CUF na wengine washanasa kwenye mtego wa Mamba (CCM) . Tegemeo letu kwasasa watanzania ni chadema na ACT wazalendo.kwasababu mmeonesha msimamo wa kutolamba miguu ya MaCCM. Tuko nyuma yenu unganeni mumsimamishe mgombea mmoja Tutashinda nina uhakika.Wana ccm wengi wanasubiri mbadala wamechoshwa na ubabe wa Rais Rais magufuli.

Kila la heri Chadema na ACT wazalendo.
Wazo zuri?CCM INANUKA UBAGUZI
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
Ni njia pekee ya kuitoa ccm vinginevyo ni kazi bure
 
Kuungana ni Jambo jema Tena sana kwa upinzani. Lkn tujiulize wakati Wendie wanaungana kwa wingi wao 2015 na kuunda ukawa yeye alikua wapi? Si alikua anawananga? Sasa hivi kwanini anatumia nguvu kubwa hivi? Tunq akili bado, huyu bwana bado anatumika, Tena vzr tu. Hesabu zake ni kukipa nguvu chama chake pandikizi wakati huo cdm inaachwa solemba baada ya uchaguzi...Cdm simamisheni lisu na wagombea wenu inatosha, maana mna nguvu kubwa kuliko ccm na vipandikizi vyake.Hesabu za zito no hovyo.
 
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.

Hivi Zito hajui ccm iko madarakani kwa sababu gani? Tatizo sio kura, bali tume hii ya uchaguzi ndio nguvu ya ccm.
 
Kuungana ni Jambo jema Tena sana kwa upinzani. Lkn tujiulize wakati Wendie wanaungana kwa wingi wao 2015 na kuunda ukawa yeye alikua wapi? Si alikua anawananga? Sasa hivi kwanini anatumia nguvu kubwa hivi? Tunq akili bado, huyu bwana bado anatumika, Tena vzr tu. Hesabu zake ni kukipa nguvu chama chake pandikizi wakati huo cdm inaachwa solemba baada ya uchaguzi...Cdm simamisheni lisu na wagombea wenu inatosha, maana mna nguvu kubwa kuliko ccm na vipandikizi vyake.Hesabu za zito no hovyo.
ACT ana nguvu kwasasa bila kujali ya nyuma .lengo la chama chochote ni kushika dola tusitizame kwa mrengo wa ACT kuwa na nguvu Bali kumuua nyoka ccm.
 
Kwa kumtumia kachero mzoefu Wa ccm, member wapinzani msitafute mchawi, wacha ccm waendelee kula nchi.bila lissu upinzani kura yangu wasahau
 
Kuna watu wanajua kucheza na akili za watu[emoji848] muda utawapa majibu sahihi 2024
 
Mibado nina wasiwasi ACT, Maalim alikwenda ikulu kufanya nini?! nikiunganisha na hili la kamilius kwenda ACT yaani ndo nachoooka kabisa. Binafsi siiamini AcT hata kidogo.Acha nilale tu
 
Nimenusa kuna kitu between Karume family and CCM ya magufuli. Sikumuona Karume wala mama karume kwenye mkutano mkuu juzi. Iam very sure kama Act wakitumia nafasi yao vizuri Zanzibar wanachukua.
Kikubwa Makubaliano yawe hivi

ACT na CHADEMA waungane.
Kwa Zanzibar- Mgombea Uraisi awe Maalim Seif wa ACT na aungwe mkono na CHADEMA

Kwa Tanzania- Mgombea Uraisi awe Tundu Antipas Lissu na aungwe mkono na ACT.

Fatma Karume awe mgombea mwenza wa Tanzania Bara.

Bernad Kamilius Membe apewe commitment ikiwezekana ya Maandishi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nakubaliana na Zitto. Ukweli ni kwamba hakuna mwaka ambao ni rahisi kuitoa CCM madarakani kama mwaka huu.
Kwahiyo mkuu nchi tuikabidhi mikononi mwa Lisu & Fatma?
 
Back
Top Bottom