Kosa ni kuwanyima nafasi watu za kuzungumzaHilo taifa lina wanafiki wa kiwango cha ajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa ni kuwanyima nafasi watu za kuzungumzaHilo taifa lina wanafiki wa kiwango cha ajabu.
Hii hawezi kuchomoaZitto nakukumbusha tuuView attachment 1239290
Kwa sababu wewe umeolewa na unalala bila chupi unadhani wote wanaolewa.Jomba unaacha kazi ya kumpikia mmeo unahangaika na waume za watu..unachekesha..kwanini usitafte mme mwingine kwani lazima huyu mzee
Huyu jirani yangu wa pale Kigoma ni mnafiki wa kiwango cha uprofesa.Hii hawezi kuchomoa
wewe ulitudanganya sijui hawala yako anafanya kazi na rais kumbe uongo wa kitapeli tuHakuna binadamu ambae huwa haugui,ila kuzusha kifo ni nonsense.
Hawara yangu ? ???Wewe mimi nina mme wangu jamani. Ni kweli Rais anaumwa. Sema hajafa kama wazushi walivyozusha.wewe ulitudanganya sijui hawala yako anafanya kazi na rais kumbe uongo wa kitapeli tu
Na afe tu , who cares anyway ? . I don't give a crap for any bloody murderer . Karma should take its path
Hawara yangu ? ???Wewe mimi nina mme wangu jamani. Ni kweli Rais anaumwa. Sema hajafa kama wazushi walivyozusha.
dada angu lakini usiwage too emotional na vitu vya kuambiwa juzi ulipagawa kabisa utajipa presha bure kumbe idara ipo kazini kigogo ni mpiga bangi tu kama mwinjakuHawara yangu ? ???Wewe mimi nina mme wangu jamani. Ni kweli Rais anaumwa. Sema hajafa kama wazushi walivyozusha.
Mme wangu Yes. Sasa Nilikudanganya wapi?Nimebadili maneno wapi?Ulitudanganya mumeo anafanya kazi na Rais, acheni kubadili maneno kuumwa ndio nini?! Hata mafua ni ugonjwa mlisema yuko ICU Ujerumani [emoji23]
Kaka zitto wakati mwingine mnajishushia heshima, kwa kiongozi kama wewe kuungana na wazushi wa mitandaoni ni fedheha , kupitia hili mjifunze kuchunga midomo siyo kila kitu ni siasa.Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Mimi nilisema yupo Dar,ni wapi nilisema yupo Ujerumani ?Ulitudanganya mumeo anafanya kazi na Rais, acheni kubadili maneno kuumwa ndio nini?! Hata mafua ni ugonjwa mlisema yuko ICU Ujerumani [emoji23]
Pressure ipi sasa ? Nijipe pressure na ukweli naufahamu ?dada angu lakini usiwage too emotional na vitu vya kuambiwa juzi ulipagawa kabisa utajipa presha bure kumbe idara ipo kazini kigogo ni mpiga bangi tu kama mwinjaku
Alilishwa Tangopori akatapika uongoo.Sasa baadae akashtuka amesema uongo kwa Twitter kama Kigogo,akaamua kuja huku jf kujisafisha kimtindo.Waliomdanganya kwakweli wamemuaibishaZitto ni mnafiki yeye naye ndio alikuwa ana eneza uvumi huo na uzushi hahahaha koma acha unafiki bora uendelee kuwa mchawi kuliko kuwa mnafiki!