#COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

Umemaliza..
 
Ulipitishiwa au nn Mana hata barakoa hukuvaa ilesiku kikaoni na serikali
 
Mi sishangai kivile maana hivi virusi mlivyoamaua kujidunga na kuviingiza kwenye miili yenu kwa jina la chanjo vina uwezo wa kufanya kile kinaitwa "horizontal gene transfer" na kuwa aina mbalimbali za virusi.

Wapo watu kibao hawajachanja na sidhani kama waliochanja are any better than ambao mmechanja. Sana sana ninachokiona kwenye media ni wale walioamua kwa makusudi kabisa kufanya chanjo kama chapa au tiketi ya uhai au usalama wa binadamu.

Mi nna popcorn zangu hapa kucheki hili gemu litaishaje.
 
Pole sana....

hii hali imekumba wengi sana siku za karibuni hasa Dar es salaam... Mafua makali, kikohozi, homa kali ghafla nk...ndani ya siku tatu inakuchapa halafu unakuwa poa..

Piga tizi kidogo, maji mengi, chai ya tangawizi, kula vizuri, Muombe Mungu itakuachia fasta..
 
Mungu akusaidie upone haraka ili urejee kwenye mapambano ya ujenzi wa taifa letu

Pole Sana mkuu
 
Allah akuafu Insha,Allah
 
TZ tuko wa kipekee sana huu ugonjwa kupitia Omicron umesambaa dunia nzima lakini ukiwasikiliza wahusika watasema bila aibu TZ hakuna Omicron wakati maelfu wanaugua na kuna uwezekano huyu Omicron akajibadilisha na kusababisha madhara makubwa
 

Kiherehere wanaume tunaumwa Siri yetu, watoto tunacheza nao na maisha yanaendelea!
 

Huyu angepumzika sasa inatosha:

 
Si juzi ulikuwa na Rais?

Sasa itakuwaje?
 
EE MWENYEZI MUNGU TUEPUSHENA KIRUSI HIKI HATARI KISICHOKUBALI CHANJO NA KILA SIKU KINAJIBADILISHA BADILISHA

SASA MTU UNAPATA CHANJO HALAFU BADO KIRUSI KINAKUSHAMBULIA NDIO NINI SASA HII
 
Nakuombea kwa mungu ufe ili kazi iendelee Mana we ndo kikwazo kwenye huu ukombozi
 
..unatafta sympathy..leo baada ya kuumwa umeamua kusema...mbona hatukukusikia kufanya kampeni za chanjo wakati kina gwajima wanapiga makelele!!...huu ndio unafiki unaozungumzwa kukuhusu.....umeona watu wanavyokulaumu kwa kujipendekeza juzi...umeona utangaze kuumwa....you need to change zitto....acha zitto kutumia matatizo ya wenzako kutafta mtaji wa kisiasa.....unasikitisha sana yani...kila mtu anakulaumu...hivi kwanini huwa hujifunzi??
 
Acha kutafuta kiki za kiasiasa, hayo mafua yametapakaa kila mahali hapa Dar. Jaribu kufuatilia nyuzi ambazo zimewekwa humu kuongelea hali hiyo ya mlipuko wa homa ya mafua.
 
Chanjo kachoma Bado kapata Corona
Bora ambaye hajachanja hapa Mjini na anaishi na kutembea kwenye mikusanyiko

Mtu aliyepata Chanjo akiugua Corona anakimbilia kusema haina madhara anaendelea vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…