Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Taarifa toka majira? ni sawa na Uhuru, mzalendo, Mtanzania, jambo leo..........

watu bana! wakizoea taarifa za udaku toka Tanzania Daima magazeti mengine wanaona hayafai
 
sixgates We mwenyewe unaonekana hamnazo halafu unawaita wenzako wajinga. Sisi tupo na Zitto because yeye yupo kitaifa zaidi na sio kichama. Kwenye mambo ya msingi yanayohusu taifa kwa ujumla anawekaga itikadi za siasa pembeni.

Ni mtanzania halisi wala sio mkanda,mdini wala mkabila.

Toka povu ila halitosaidia.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri kuwa bado taifa linamhitaji ZITO katika medani za siasa, mchngo wake ktk umri wake ni inspiration kubwa vijana. Anyway, Seeing in believing!
 

Hakuna anaependa majangili wala anaeshabikia mafisadi. Ikiwa atafanya ivo basi kwetu itakuwa furaha na tutampenda mara mia ya sasa.
 

Kama Magufuli au Mwakyembe atakuwa Rais, Zitto inawezekana kupata madaraka ndani ya serikali ijayo. ila kama hawa wanaomwinda kwa sumu na kumkodia majambazi mama yake, hilo haliwezekani. kama wanashindwa kumtumia kwa nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu, seuze uwaziri! hilo haliwezekani
 
Mbona magamba ndo wanachangamkia thread hii kuliko zingine? Amazing.

Unaowaita magamba ni wazalendo thus why wanachangia kuona nguvukazi katika nyanja ya demokrasia itapungua.
 

Wewe aliyekuambia kuwa CDM hawatambui umuhimu na mchango mkubwa wa Zitto ni nani? Zito ni Naibu Katibu mkuu wa chama, asingekuwa na mchango mkubwa asingekuwa na nafasi hii kubwa na nyeti ndani ya chama. Zitto ni Mbunge na Naibu kiongozi kambi rasmi ya upinzani bungeni. Zitto ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya kusimamia mashirika ya umma na .... Zote hizi ni nafasi ni nyeti zinaaomfanya Zitto kuonyesha nguvu na utendaji wa wanachama na viongozi wa CDM katika nafasi mbalimbali kitaasisi.

Sasa unaposema watakujajutia, ni kwalipi? Zitto ataendelea kuwa hazina ya CDM hata kama attacha kugombea ubunge na urais. Yale aliyoyatenda ndio yatakayosimama na kumuuza yeye na chama chake!
 
Zitto waliwabeba vijana kwa kuliteta msisimko wa siasa kwa vijana:
1. uwezo wake wa siasa kama kijana uliwafanya wananchi wawaamini vijana na kuwachagua kuwa viongozi.
2. vijana wakajiamini kuwa kumbe wanaweza kuchaguliwa na kuongoza.
Zitto bado anahitajika kwenye siasa lakini hata akiondoka atakuwa ameacha athari kubwa nzuri.
 
Zitto ni hazina Chadema, kuondoka kwake iwe kwa mazingira yoyote yawayo ni HASARA na PIGO kubwa sana kwa Chadema.

Nawahakikishia iwapo hii ni kweli, Chadema itapasuka. Period!
uko shallow kwenye politcal analysis,nadhani wewe utakuwa ni injinia au mhasibu,achana na siasa huzijui.
 

hoja yako ina mashiko. ufafanuzi wahirajika
 
Zito anategemea kuwa Waziri kwenye serikali ya CDM kwahiyo haitaji kuwa Mbunge kama Rasimu inavyojieleza
 
am born champion japo cjawah hata kushka namba ya kwanza kwenye jambo lolote dunia
 
Hata Nyerere alikuwa hivyo wakati wa Uhuru lakini siyo kwasababu amekufa siasa hazitaendelea
 
You have point!
 
Chadema hawana hasara yeyote kwa mh Zitto kujitoa kwani wanafahamu wazi hiki sio chama cha watanzania ila ni saccos ya familia.
 
Uwamuzi wa busara sana huu, wasije kukutoa roho siasa mchezo mchafu sana,yoyote alie msafi hawezi cheza mchozo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…