Hao wanzanzibar acheni waende tu kelele zimezidi
Hao wanzanzibar acheni waende tu kelele zimezidi
Source Majira
Mbunge wa kigoma kaskazini bwana Zitto Kabwe kafichua siri nzito na kudai hana mpango wa kugombea urais mwaka 2015 na wala hatagombea ubunge ila anataka kutafuta chuo na awe mwalimu wa chuo na analenda sasa kufundisha maswala ya uchumi na mazingira ndio dhamira yake
We mwenyewe unaonekana bonge la taahira halafu unawaita wenzako wajinga. Sisi tupo na zitto because yeye yupo kitaifa zaidi na sio kichama. Kwenye mambo ya msingi yanayohusu taifa kwa ujumla anawekaga itikadi za siasa pembeni. Ni mtanzania halisi wala sio mkanda,mdini wala mkabila. Toka povu ilahalitosaidia.
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto
Mtu complex hawezi toa maelezo mepesi kiasi hiki,kwan mbunge hawezi kufundisha???!!!!
Si anakaa Dar jimbo lipo Kigoma sasa atashindwa kuishi Mwanza kwenye vyuo na aendelee huko kanda ya ziwa???!!
If this is true ,he should come out clean!!!!!
Kwa uwezo wake na matumaini ya baadhi ya watu juu yake ni sawa na dereva kugomea safari katikati ya msitu!!!!
Aseme safari ngumu.??????
Gari bovu????!
Uwezo wa kuendesha umeshuka??!!!
Konda na tanboi hawampi ushirikiano safarini???!!!!
Nia ilikuwa sio kufika???!!!
Alitaka tu kuonekana akilitoa basi kituoni????!!!!!
Alitaka kuendesha magari katika kampuni ya kimataifa ila ilikiwa ni lazima aendeshe basi kwanza???
sixgates katoa hoja za msingi sana, kwa nini watu walioshupalia jambo hili ni wajinga (hawajui, ignorant people). Nilitegemea ungejibu hoja zake na kuonyesha asivyo sahihi, lakini wewe umeamua kumwita taahira (mtu asiye na akili timamu), bila kuwa na sababu yeyote ya msingi !.
Basi limejaa chawa mpaka kwenye kiti cha dereva. Basi hilo uking'ang'ania kuliendesha unaweza kuliangusha wakati wa kujikuna...