Hao wanzanzibar acheni waende tu kelele zimezidi
kweli.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanzanzibar acheni waende tu kelele zimezidi
Haya sasa,
Wale vijana njaa kali wa chadema na wazush wazush na wakaanga sumu kama masaa manane na yericko mdandia nasaba ya nyerere waichukue taarifa hii kama fundisho kwao,
Na ya kwamba mwenzao zitto anaish maisha yake,wao wakibaki kuyachunguza na kuyafuata fuata maisha yake,wanadhani kila mtu anaweza tumain siasa kama maisha ya kudumu kama wao,
Na sasa wajipime na waone je wanaweza kuufuata moto huo??
Badala ya kuyaish maisha yao,wao wako busy kuyaish maisha ya wenzao,
People with Sad Destiny...
Sipati picha jinsi gani Dr Slaa atakavyo furahishwa na hii habari. Babu relax, Zitto is no longer your threat.
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto
mnyama mwenye sifa za mamalia na ndege POPO.....
Zitto is a Trator yeye na wengine wengi wa CCM na CDM wanajua....
Unajua is better to be loyal to the team than to the truth...,,,,kwenye jeshi wale traitors toka jeshi jingine wakiwaletea habari jeshi jingine mwishoni wale wale wanao pewa habari humuuwa yule mpashaji habari maana wanajua atafanya hivyo kwao pia ...anakuwa hana muamana.
Ningependa kuona upinzani unaimarika zaidi ni muhimu katika ustawi wa nchi ,haipendezi kuona mtu yuko upinzani akitumiwa na chama tawala downlow .Hata chama pinzani chochote kikichukua nchi na kuwa chama tawala still vyama vitakavyokuwa vya upinzania vitakuwa na umuhimu ule ule katika ustawi wa taifa hasa as watch dog
Sio Zitto ninaemfahamu na aliyetukimbia kwenye mgomo Chuo akidai alikua Bagamoyo kwnye forum. nasubiri.
Kila mwenye macho na akili timamu ameiona kazi aliyoifanya zitto kabwe chadema,
Unachokiongea hakina uhalisia,
Haki isemwe tuh,hata kama ni inachomachoma,kazi aliyoifanya inafahamika na kila mwenye akili timamu
yule kawashika pabaya, wajaribu kukata jina tu waone CCM itakavyo teketea mikonini mwao.haya na Mh.Lowasa nae aseme basi kama anampango au laa 🙂
Chuki gan ninayo dhidi ya Zitto? BTW ZZK anaamini ili uwe mwanasiasa mzuri lazma urotate katika media iwe kwa negative or positive. Anaamini ili uwe vichwani mwa wananchi lazma uwajengee controversy to keep them into big awaits. Anaamini kuwa baadhi ya watu ni zaidi ya taasisi km anavyojiona yeye..which is wrong..hata taasisi ya ndoa ili ikamilike inahitaji watu wawili, familia inahitaji watu, hivyo hata chama kinahitaji watu. ZZK is no body km sio chadema ila chadema will remain firm without Zito, dokt slaa au hata mbowe. Huwa watu wanacheza na taasisi hawajui nguvu yake.
Taifa ambalo haliheshimu taasisi limekufa. Zitto anahisi ni maarufu kuliko chadema kumbe sio kweli, arudishe mawazo yake nyuma afikiri upya.
Uchuro
Haya sasa,
Wale vijana njaa kali wa chadema na wazush wazush na wakaanga sumu kama masaa manane na yericko mdandia nasaba ya nyerere waichukue taarifa hii kama fundisho kwao,
Na ya kwamba mwenzao zitto anaish maisha yake,wao wakibaki kuyachunguza na kuyafuata fuata maisha yake,wanadhani kila mtu anaweza tumain siasa kama maisha ya kudumu kama wao,
Na sasa wajipime na waone je wanaweza kuufuata moto huo??
Badala ya kuyaish maisha yao,wao wako busy kuyaish maisha ya wenzao,
People with Sad Destiny...
Hitimisho lako ni zito sana, una ushahidi wowote kwamba hivi ndivyo alivyo, au ndio mtindo huohuo wa hisia kuzibadilisha kuwa kweli? Wazungu wanasema: 'we suspect in others what we feel in ourselves'. Yaani wakati mwingine binadamu huwa tunawaza kitu fulani akilini mwetu na kujiona sisi tulivyo na kudhani na kujiaminisha kwamba hivi ndivyo walivyo watu wengine. Angalia ndugu yangu usije ukawa hivyo ulivyo ukadhani na wengine ndivyo walivyo!!
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto
Nilishasema usiniite kwenye thread za kipuuzi.