Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
zitto kabwe
===>mama yako vipi?ataacha kuchukua?
Kati ya wanasiasa wazalendo tanzania ambao bado wapo hai nadhani amebaki zitto pekee wengine wote ni waganga njaa na wapo kimaslahi zaidi. Natamani siku moja huyu mzalendo ashike nchi ili atuongoze kujenga taifa la kizalendo
Anakataa wakati mama yake Shida salim atapokea?
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
NIMECHEKA SANA, ZZK ANATAKATAA WAKATI MAMA ATAPOKEA KWELI HII KALI, SO ZINARUDI KULE KULE KWA MLANGO MWINGINE.
NAHITAJI MCHANGANUO KWENYE HII POSHO, DOES IT INCLUDE ACCOMODATION, MEAL ALLOWANCE etc or JUST POSHO NJE YA MENGINEYO?
Mkuu kwahiyo wewe huwezi kuacha dhambi kwa ajili mama yako hajaacha?
Mbona malipo kupitia TISS hakuyakataa!!! Kubwa kwake ni kupenda kuwalaghai walalahoi tu na si vinginevyo.
Haya tena lema yeye anasemaje kuhusu posho au anataka ziongezwe.