Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
Mwigulu anasemaje? Au hili chemba halitachukua posho, thubutu, za kuhonga wake za makada wenzie litapata wapiHaya tena lema yeye anasemaje kuhusu posho au anataka ziongezwe.
Wewe badala ya kuuliza kama wabunge wako wa CCM watachukua au wataacha unazungumzia Lema hivi haujioni kama ni Mp.um.bavu
Wewe ni miongoni mwa wajinga wasiojua nini wanachoandika au kuongea wewe inasema wabunge wa CDM ambao hawafiki hata 50 waungane na Zitto kukataa posho ya 300,000/- huku ukiwaacha wa CCM ambao ni zaidi ya 200 hivi haujioni kama ni mp.umb.avuHongera sana Zitto, wewe ni mfano wa kuigwa kwa vitendo si kwa maneno.
Tu ajua watanzania wengi walilalamikiq sana kunusu hii posho na wewe umefanya kwa vitendo si maneno kuikataa.
Watanzania na Wapenda maendeleo wanatakiwa kuungana na kumpongeza na hikiwezekana wabunge wengine hasa wakile chama cha wanaojiita wazalendo waungane nao nae kuikataa posho kwa vitendo maana hata wao walisema ni kubwa hivyo ni vyema kuikataa kwa vitendo..
Watanzania na watu wote wanatakiwa kufahamu kuwa zitto hajamlazimisha mtu kukataa posho ame hamua mwenyewe na wala hamlazimishi mtu kutichukua posho hivyo ni vyema wasiopenda kuziacha posho wanyamaze na waendelee kuzichukua na wala tusimchukie mtu kisa hafanyi tunayo yafanya.
Nitawashangaa watakaoo anza kumkashifu huyu mzalendo wakati kila mmoja wetu amekuwa akipinga hizi poshona sasa tumepata yule wakuzipinga kwa vitendo na si maneno.
Nchii hii hinahitaji watu kama hawa wasio na maneno mengi bali vitendo.
salamu hizi zimfikie kamanda Godbless J Lema na msaidizi wake Mungi na hikiwezekana tuungane kumpongeza kijana mzalendo wa vitendo.
Tusibaki kuandika makala tuu bali tuoneshe uzalendo kwa vitendo kama huyu kijana.
Mungu azidi kukulinda mh Zitto.
ana.
Ataishije dodoma?
sijui anawazaje zitto.. Ni janga lingine.. SI ANGECHUKUA AKAWAWEKEE BODA BODA WALE VIJANA WA MWANDIGA,, AU HATA AKAWABORESHEE WAVUVI WA DAGAA NETS...
ANA SHIDA KUBWA.
Kwanini asipokee afu atupe mchanganuo wa hiyo hela kwenye madawati au madawa?
Sasa atotoa wapi hela za kuishi hoteli, kula na hata malipo ya taxi? Jamani tuache unafiki, labda atuambie amepata wapi hela za kutumia mbadala na hizo?
Hii ni sitting allowance, haina uhusiana na per-diem ambayo pia watapata.
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
Ataachaje wakati ndio ajira yake?