Kwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?Hakuna muujiza wowote ule. Kilichofanyika sasaivi ni hela zote za serikali zinakusanywa na TRA. Kama hadi mamlaka za Ngorongoro na Tanapa na uhamiaji zimenyang’anywa kukusanya mapato ya utalii na imepelekewa TRA hizo figures wala hazishangazi...
Nani kapinga TRA kukusanya?? Tunachosema ni watu kuwadanganya watanzania kuwa mapato yameongezeka kumbe kiuhalisia hakuna cha mapato kuongezeka bali ni kunyang’anya mapato ya taasisi nyingine na kupeleka TRA.Kwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?
Kwani Serikali ni malaika na mungu hawakosei? Mara ngapi wanatengeneza propaganda mbalimbali za kuwahadaa watanzania?Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili...
Wakusanye kwa haki siyo kuwabambikia kodi kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani matokeo yake wataziua Benk kwa kukosa watejaKwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?
Wamepika data zao ili kuwahadaa watanzania, wakitaka watu wanaamini waache Tabia mbovu ya kufunga Account za wafanyabiashara kuwabambikia kodi kufunga biashara za watu kwa uonevuTatizo hii awamu fix sana ngumu kuiamini.
Upigaji upo sasa zaidi kuliko awamu zote, kuanzia ununuzi wa Ndege kuna 10% ukarabati Ndege kuna 10% ujenzi wa Reli SGR flyover bwawa la umeme kuna 10% za wajanja wachache na huko TRA ndipo kuna upigaji wa kutisha kwani maofisa vinara wa Rushwa ni matajiri wakubwa wana majumba na mali nyingi kuliko hata wafanyabiashara wanaokamuliwa kodi za kubambikiwaAwamu ya tano watu wengi roho zinauma sana poleni. Ukweli ni kwamba TRA wangeweza kukusanya hata Trilioni kama wewe ungelipa kodi yakohakuna cha kushangaza hapo awamu zilizopita zilikuwa za wapigaji leo roho zinauma mwacheni ajimwambafai anakonga roho zetu sisi wanyonge hatuna cha kupoteza Viva Magu
Historia haizuii kusema mapungufu ya TRAKumbe hata kuchambua taarifa ya Not hajamaliza,kihere here Cha nini?
Zitto haaminiki,aliwahi kusema nchi Ina Tani 90 tu za akiba ya chakula
Upigaji upo kwenye Rushwa, wafanyabiashara kutishiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi, mikwara inatumika kupiga pesa za wafanyabiashara, upigaji wa sasa upo kivingine usipobambikiwa kodi kufungiwa Account wanakuja na mbinu zingine kwa kutumia upepo uliopo sasaJambo pekee nitaamini,ni kuwa mianya ya upigaji imepunguzwa kwa kiasi kikubwa,hii ndio inaleta tofauti na serikali iliyopita.
Upigaji sasa upo kwenye mabenk wakifunga Account yako kuifungua lazima utoe pesaJambo pekee nitaamini,ni kuwa mianya ya upigaji imepunguzwa kwa kiasi kikubwa,hii ndio inaleta tofauti na serikali iliyopita.
Hapo anataka kufanya mlinganyo tu Kama kweli kilichokusanywa TRa ndipo kilichopokelewa?Ni kweli karibu mapato mengi ya serikali yanakusanyo na TRa through gepgZitto huyu aliyewahadaa Chadema mnamuamini
Miradi bubu ya wazalendoMgogoro wa Ethiopia unaendeleaje?
Na pia ni kiwanda cha uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiasharaCcm kiwanda cha uongo
Jipya halihitajiki kujua udhaifu wa TRA, mapungufu ya TRA hayahitaji jipyaHuo ndo ukweli,Zito keshajipatia zake saccos kule..inatosha...apige zake blah blah wala hamna jipya...tumemzoea..
Huo mfano wako hauna mashiko na hauwezi kutumika kwenye mapungufu ya TRAkwa kawaiida kukusanya kodi ni mkudansanyaji ambaye Ni TRA anapoteza muda kuchambua ni sawa na mfanyabiashara akidema nimepata mapato ya bilion moja halafu unasema naenda benki kuchambua taarifa zake.
Duuu hapo umenikumbusha ManjiNa pia ni kiwanda cha uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiashara
Waeleze hao bendera fuata upepoHuo mfano wako hauna mashiko na hauwezi kutumika kwenye mapungufu ya TRA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sasa ulichoandika hapa ni nini?Nani kapinga TRA kukusanya?? Tunachosema ni watu kuwadanganya watanzania kuwa mapato yameongezeka kumbe kiuhalisia hakuna cha mapato kuongezeka bali ni kunyang’anya mapato ya taasisi nyingine na kupeleka TRA.
Ni sawa na kwenye familia yako mtoto alikuwa analeta kwako shs 100 na mama shs 50 , wewe kama baba Unasema hela zote zikusanywe na mama.
Mama kaleta shs 150 kwa kukusanya na za mtoto unakuja kutangaza kwa kujisifu kuwa mapato yamepanda kumbe hakuna tofauti yeyote. Ni kiini macho tu
Juzi juzi tajiri wa kihindi Subash patel kafa kwa pressure baada ya kubambikiwa kodi kubwa ya mabilioniDuuu hapo umenikumbusha Manji